MWANZA: Wafanyabiashara wawili wafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu uchumi na kuleta hasara ya bilioni 10 kwa Serikali

Imeandikwa Antonia Zacharia jina la kike kabisa na tunaona kwenye picha huyo mama lkn bado watu wanauliza km ndie yule mmiliki wa mabasi ya Zacharia Du nachoka!
Mbona ajafungwa pingu Na anasindikizwa Na Askari was kiume?
 
Peter Zakaria mmiliki wa basi yafanyayo safari za Sirari via Tarime to Mwanza ni mwenyeji wa Tarime, kwa hiyo kulingana na majina tajwa hapo juu siyo yeye
Huyo ni yeye peter zakaria na best yake kilumile..wao ndio walinunua jengo la kauma wakafanya garage na yard za mabasi na malori ya kilumile
 
Wewe unaongelea kiwanda cha nyanza bottle (Gachuma):):). Hapa tunaongelea mali zilizokuwa za Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU)
Kauma ndio walinunua hao kwa kupeana,cba bank toka wapange hapo jamaa wamevuna vya kutosha
 
  • Thanks
Reactions: ram
Umeona eeh....mkulu aliagiza wote waliopeana mali za nyanza wakamatwe naona kazi imeanza
Shida iliyopo hapo hakuna case kwa nijuavyo mimi,kipindi hicho nyanza walikua wanadaiwa na mabank wakashindwa kulipa mali zikapigwa mnada,yetu macho tusubiri
 
Zakaria alinunua jengo la Nyanza kenyatta road hapa mwanza (sijui alinunua mwaka gani) mbali na hilo jengo kwenye hilo hilo eneo kuna kituo cha mafuta na parking ya mabasi yake. Nimeshangaa kafikishwa mahakamani coz zakaria anajifanyaga yuko juu ya serikali
Ni mkewe siyo yeye. Jengo lilinunuliwa kwa kutumia jina la mkewe
 
Peter Zakaria mmiliki wa basi yafanyayo safari za Sirari via Tarime to Mwanza ni mwenyeji wa Tarime, kwa hiyo kulingana na majina tajwa hapo juu siyo yeye
Jina kama la mke wake make hata ubavuni mwa mabasi yake mengi yameandikwa Antonia zakaria nasikia ni mkewe.
 
huyo Zakaria ni nani na anamiliki mabasi gani ? yanaenda wapi ? maana sisi tunawajua kina new force, dar express, kilimanjaro na mzee sumry aliyetingisha mitandao kwa shamba lake la kisasa juzi juzi

ni tajiri sana huko mwanza au? maana jina geni masikioni kwangu
Kama unavyosikia kina ABOOD wa Dar Moro ndio Zakaria kwa Kanda ya Ziwa.
 
Haya mavyama ya ushirika si yalifirisikaga wakaanza kuuza asset kulipa madeni ya mabank.?
Sasa badala wakamatwe wauzaji wa asset,anakamatwa mnunuzi,
hamna kesi hapo,ndo maana hata haiwezi pelekwa mahakama ya ufisadi,sanasana ni kuwekwa lokapu na kusahaulika kwa miaka 10 bila dhamana
 
Back
Top Bottom