Mwanza vyaumana tena polisi na nguvu ya umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza vyaumana tena polisi na nguvu ya umma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ThinkPad, Jul 13, 2011.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika pita pita zangu kitaa nikakuta magroup ya watu kibao maeneo ya Nyakato Nation nilipofika maeneo ya Mwatex ndio jamaa wakasema kuwa mwanajeshi alikuwa na pikipiki akapigwa na Mapolisi so raia ndio wakaingilia kati yaani ni mshikemshike polisi na risasi na raia na mawe yaani ni full balaa wakati narudi ndio ikawa issue mabomu ya machozi maeneo ya mwatex yamepigwa raia wanakimbizana na askari raia wanarusha mawe ni balaa hata risasi hazioni ndani, mpaka ikabidi turudi tuliko kuwa coz njia haipitiki. mpaka naingia mtamboni.
   
 2. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mimi nasema ivi wana-mwanza ipo siku kitaeleweka aisee huo ubabe wa polisi na hao watawala wao
  na huu umeme wa mafungu ya siku 2/3- wataeleza awa kina jk,mana kila mtu mute tu wanajua tunaishije?
   
 3. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  chezea washashi ww,watadaka izo risasi/mabomu mbona ipo siku
  kule watu hawaogopi nini wala nini wakiamua kitu aisee,sio uwoga na tai za wasomi

  jamani juzi apa wameua watu (machinga) vs wahindi wanahaha tu kuhonga leo tena?
   
Loading...