Mwanza vs Arusha, wapi kuna maendeleo zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza vs Arusha, wapi kuna maendeleo zaidi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Deejay nasmile, Apr 27, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Nataka nikaanze maisha mapya moja kati ya sehemu hzo mbili.Uzuri niusemao mazingira,kuendelea kiuchumi,afya nk
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kwetu pazuri!
   
 3. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hakuna mahali kama mwanza mwanza
   
 4. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mwanza is the best
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  A-town!!..labda kwa vile mie wa huko, Mwanza nope, kimatembezi tu
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  a town baab
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  A.town panakimbiza tz hata wageni wakitoka majuu lazma wafke na walale A. City
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mukubwa,
  kimaono yangu hapa ni kama unaleta homework ya competition between Manchester united na Mtibwa F.c !
  Yaani na unashindanisha Biriani ya Kuku na Makande !
   
 9. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  sijakuelewa mkuu,,,, soo wich 1 is biriani ya kuku?? And wich 1 z makande??
   
 10. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwani maisha ya zamani uko wapi..
   
 11. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  songea
   
 12. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Poa..

  Nenda Mbeya-Tunduma.. A town na Rock city achana nako!
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Rock Ciry si ndiyo Biriani Babaa!
  Sasa usiniulize nini Makande !
  Wenyewe wana midomo hao!
  Hazipiti dkk 10 watauzingira Uzi kama mpira wa ko....
   
 14. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  njoo njombe kaka kl 137 tu toka bomba mbili.
   
 15. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Niko pamoja nawe

   
 16. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Arusha ilikuwa zamani haina mpinzani mpaka sasa hapa nchini hakuna jiji zuri kama Mwanza.

  Bahati nzuri mie si wa Arusha au Mwanza.
  A-city nimeenda enda sana na mara ya mwisho ni Feb mwaka huu pia mwanza naifaham sana na jins inavyo change after every two months.

  No place like Rocky City in Tanzania.

  Mtoa mada kama una cash katumie Mwanza si Arushag

  Najua watu wa Arusha watanipinga lakini kama umekuwa mwendaji wa Mwanza hasa toka 2008-sasa. Mwanza is best and still goes on.

  Hata kwa usafi ni Mwanza au Moshi.
  Naachia keypad za simu.
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ngoja nimalizie hii supu ya mkia....nakurudia.....
   
 18. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Karibu Mwanza...Mkuu...Bado kuna opportunity kubwa sana ya kutoka kimaisha...karibu mwanza karibu mwanza kwenye samaki wa maji baridi...

  Bado hata viwanja vya kujenga bei rahisi...unaweza kuwa connected kirahisi.....ukiwa creative yaani mwanza utaipenda...karibu mwanza tena na tena...
   
 19. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwanza the second largest city in Tanzania.
   
 20. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  On my to Mwanza, maeneo gani standard ya kuishi? Na bei ya rent inakuwaje kwa mtu wa kipato cha kati
   
Loading...