Mwanza umeme wawaka zaidi ya 24 hrs bila kukatika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza umeme wawaka zaidi ya 24 hrs bila kukatika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ntamaholo, Sep 16, 2011.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  katika hali ya kushangaza, maeneo baadhi ya jiji la mwanza umeme umewaka kwa zaidi ya 24hrs bili hata kukatika. Ilikuwa ni juzi umeme ulikatika, ulirejea majira ya saa sita na haukukatika mpaka sasa.

  Kwa jinsi walivyozoea wananchi kuna wengine walifunga biashara zao mapema kwa kuamini umeme utakatika baada ya mda mfupi kwani walishinda na umeme. Mazoea kweli yana taabu.

  je hii inaashiria kuisha kwa mgao au ngeleja kasahau kukata?

  Source: Direct observation and experience (primary data)
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa,ngoja tukate tupeleke arusha.
   
Loading...