Mwanza tupo karibu na ziwa ila tunanunua maji ya kusomba.

Nachoshangaa nini sasa kwa nchi
Hii mbona mororo tu kwa ujumla tanzania haikutakiwa kuwa na uhaba wa huduma ya maji kila kona maji wananchi hawana maji
Juzi nimepita Nzega stend,ilikuwa balaa. Vyoo vya stend na sehemu jirani havikuwa na maji. Abiria walitaabika sana ukizingatia mabasi kadha yalilala pale .
 
Sisi uku uswailini maeneo ya Igogo, na Tanesco maji yapo yakutoshatu amieni uku
 
Acheni kulalamika lalamika nyie watu wa Mwanza, mbona jamaa wa Bukoba wako kimya pamoja na kwamba wanajua mkwanje wao ndo unajenga kiwanja cha bird huko Tocha.
 
Tatizo la watu kila kitu mmewekeza kwenye siasa shida ya maji nchi hii ni kubwa haijalishi ni wapi Mwanza ni sehemu nyingi tu hakuna maji tuanze na Luchelele mahina huko juu kishiri huko nje busweru huko nje kahama ilalila igombe maji hayakidhi nyasaka huko nje igoma maji kuna muda yanatoka kwa shida na wilaya zake huduma ya maji haijawafikia kwa asilimia kubwa bado sana
 
Back
Top Bottom