Mwanza, Shinyanga na Musoma: CCM ikishinda uchaguzi ujao naahidi kujiondoa JF

Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
CHadema kupata ushindi mpaka iachane na watu wafuatao ili ishinde
1 Tundu Lisu
2Godbles Lema
3Mwamakura
4Katimba
5Bagonza
6Ponda
Wengine wanalekebishika kama
Msigwa na Sugu.
Vinginevyo chadema tungeshaiweka madaraka
 
Yani wasukuma Baada ya Magufuli kutangulia na akaja Samia na kwa tamaduni za huku wanaonaga wanawake kama hawana lolote sa ndio hicho hata mama wanamtazama tu huku hawamuelewi..tena asilimia kubwa Wanawake weng ndio hawamkubali mama usukuman
 
Katiba haipigi kura wabunge zaidi ya 60 wa upinzani kabla ajavuruga nchi si walipita kwa katiba hii hii.
Are you stupid? Hii chio sio Mali ya ccm chama chakavu Tunataka katiba mpya na tume huru.
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Bhageshi mkotalwa ndilo do gete Lokubha ..pyee no kono Mbeya Katavi Rukwa mkena keno pyee gasamaga...
 
Ccm hata wasiposhinda uchaguzi watatangazwa kwa nguvu, kumbuka yaliyotokea mwaka jana, Hakuna haja ya kupoteza muda wako kupiga kura, ccm inajichagua hata kabla wananchi hawajapiga kura,
 
Mleta uzi unasahau kuwa CCM ndio inaandaa uchaguzi,inasimamia na kumtangaza matokeo. Hivyo kuishinda CCM mpaka kufumua mfumo mzima mana iko wazi siku zote chaguzi zote hawajawahi kushinda Ila wanatangazwa kwa hila. Tume hii ya Kaijage tusubiri sana. Ni ukweli mchungu lakini ndo hivyo tunaishi nao. Matumaini yapo kwa Mungu kama aliangusha jiwe hata hayo mengine yana siku zake.
Tumedanganywa sana kwa muda mrefu kiasi tunaamini uwongo, ukweli ni kuwa hatuna upinzani imara wa kuweza kupata matokeo hata sehemu uwezekano upo.
Kama Chadema ingeanza kujizatiti mikoa wa Kilimanjaro, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita, Katavi, Rukwa, Tabora na Songwe na hakika kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Uwakilishi majimbo ya Upinzani.
Tupunguze kuamini uwongo kila siku.

Chama gani kinagombea Urais hakuna hata picha ya mgombea Urais na mwenza. Upinzani wa Tanzania matayarisho yetu taka taka. Siku zote.
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hii mada yako ingekuwa valid kama kungekuwa na uchaguzi wa kupiga kura na kuhesabu kura za aliyeshinda
 
Kwani yule dikiteta alikuwa anashinda? We vepe?

Ni bora hata Samia anaeleweka. Yule dikiteta ilikuwa vituko na aibu tu!
Mnaandika sana bila kuwa na uhakika na mnacho andika na ubishi usio na kichwa wala miguu, mikoa ifutayo Magufuli alikuwa na waumini na wala sio tuu wapenzi,.
Mikoa yenyewe ni baadhi ya mkoa wa Kilimanjaro, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita, Katavi, Rukwa, Tabora na Songwe na Morogoro.
Pata taarifa ya uhakika kutoka mikoa hiyo halafu ujibu hi comment.
 
Muda wa mabadiliko utakapofika utafika tu kwa namna yoyote.hakuna haijuaye kesho wala hakuna ajuaye siku ya mabadiliko itakujaje.Tuishi maisha bila kuyakariri.
 
Shida inaanzia hapa, Ndio CCM iko taabani je tuchague chama gani sasa kilichojipanga kushika dola? kushika dola sio bahati mbaya bali ni mipango na maadalizi yaliyokomaa..

yaani unataka uwape nchi hawa wazee wa matukio? chama kisicho na mipango ya kesho, chama kisicho na uongozi madhubuti kutoka juu mpaka chini huko...hapo ndipo wengi tunakosa option na kuamua kutopiga kura..

Kama huo ndio ukweli kwanini hamruhusu mikutano? Kwanini hamruhusu mikutano ya ndani ya hao viongozi dhaifu? Kwanini mseme kuwa viongozi hafanye mikutano yao tu katika maeneo waliyochaguliwa huku CCM ikizunguka nchi nzima kwa kisingizio cha kofia ya uRais?? Kwanini Tume ifute majina ya wagombea kwa sababu zinazokandamiza haki za kikatiba??

Hakuna kiongozi wa Chadema aliye na ujasiri hajakumbana na adha za kesi na kukamatwa. Au kuathiriwa kibiashara. Au wafuasi kusingiziwa kuwa si raia wa Tz kwa kuwa tu wana majina yanayofanana na majirani au wanatoka mikoa ya pembezoni!!

Tatizo la nchi hii ni watu kama wewe. Wanaoangalia wameangukia wapi badala ya wameangushwa na nini! Watu wanaohalalisha matokeo bila kujali njia za kufikia matokeo yao. Watu wanaosahau matendo yao badala yake kuangalia wahanga wa matendo yao wameathirikaje. Zaidi sana, wale watu wanaowanyima haki wengine na kisha kuwalaumu kwa kuwa hawatoshi au dhaifu!!

Mkuu, unayoyaona ni matokeo ya matendo ya CCM. Si kwa Chadema tu - kwa nchi hii ikiwa ni pamoja na wanaCCM wenyewe!!
 
100% ya ma DED ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi no makada wa ccm.
Kuna vibinti havijawahi hata kuajiriwa vilikuwa vipi tu Kwenye kamati za utekelezaji za uvccm vimeteuliwa kuwa DED.
Unategemea vijitu Kama hivyo vitatangaza mgombea wa ccm kashindwa?
 
Nani kakwambia ushindi wa uchaguzi Tanzania unaotokana na uamuzi wa mpiga kura, Ni kikundi cha watu(tume ya Uchaguzi) ndio kinaamua nani ashinde rejea uchaguzi wa konde, kauli ya jiwe kuwa anawapa magari,mishahara ,posho nk halafu wanatangaza wapinzani kushinda
 
Yani wasukuma Baada ya Magufuli kutangulia na akaja Samia na kwa tamaduni za huku wanaonaga wanawake kama hawana lolote sa ndio hicho hata mama wanamtazama tu huku hawamuelewi..tena asilimia kubwa Wanawake weng ndio hawamkubali mama usukuman
Kwahiyo Kanda ya ziwa ndio usukumani ?

Mimi kwetu kanda ya ziwa mlna wapa hizo siasa za umagufuli sizioni.

Ninachojua kanda ya ziwa, wapiga kura wengi hasa wanawake na wazee ni CCM na watampigia kura mwanaCCM yeyote.
 
Back
Top Bottom