Mwanza: Shinyanga Guest House yaungua moto, Mmliki wake aungua hadi kifo

Ni hudhuni, masikitiko na furaha hapa jijini mwanza baada ya mzee maarufu na tajiri hapa mjini mzee Shinyanga kufariki jana usiku katika ajali ya moto akiwa katika makazi yake pale shinyanga guest mtaa wa lumumba.
View attachment 522270 View attachment 522271
Hii ni Shinyanga Guest iliyoko katika Jiji la Mwanza iliyowaka moto. Mmiliki wake, mzee Shinyanga amefariki dunia ameungua hadi kufa.
Moto Ndo uliomuunguza mpaka kufaa Je hakukuwa Na Watu wa kumuokoaa.Au alipoona Hotel inaungua akaamua afe nayoo??Naomba jibu
 
Kamanda Msangi tunaomba taarifa ya kipolisi juu ya tukio hilo la moto.
Watu wanaweza kupotosha ukweli.

Updates

Naona taarifa kwa sasa iko vizuri.
Kamanda Msangi tunashukuru kwa taarifa.
 
Mleta waya sijakusoma vzr unaposema "huzuni, masikitiko na furaha"...
Hyo furaha inakujaje ktk hali kama hyo????
Au mwenzetu umchawi umemtoa kafara huyo alieungua mpka kufa????
 
Kwa mimi wa huku Moshi nisiyemjua sielewi xdrfdx gtfsababu za hiyo furaha.Hebu nifafanulie hiyo sababu mkuu na itakuwa siri kwangu sitomwambia mtu.

kuna watu wamehama hapa mjini bila kupenda sababu ya huyu mzee ingawa anawapaga hela pengine hata zaidi ya wanazoitaji. alikuwa akipapenda kwako lazima umuuzie. pale uhuru street alinunua mtaa kuanzia opposite kembice hotel hadi karibia uhuru dampo, sasa alikuwa na tabia ya expansion so ukiwa karibu nae jua muda wowote unanunuliwa tena kwa fedha nono.
aliendaga kwa ndugu yangu pale uhuru street akawaambia 'niuzieni hapa' wakasema hawauzi, akaenda tena mara ya pili wakasema hawauzi, akaenda mara ya tatu akawaambia 'nyie nishawaambia mniuzia hapa vipi' jibu likawa lilelile. ila baadae wakakaa wakajiuliza huyu mzee amepakomalia sana hapa tumuuzieni tu atakuja kutuua! mzee alipotudi tena akakubaliwa kuuziwa, jamaa walipoulizwa bei wakaropoka tu milioni 800 afu mzee akawaambia 'ebu chukueni tu hiyo bilioni 1' mzee palepale akafuata mpunga, jamaa akasema waende benki wakaandikishane, mzee akasema labda hiyo kwa usalama wenu nyinyi ila mimi hamna shida hela hizo huko chukue, zilikuwa kwenye buti la gari. ila jamaa akakataa ndo wakaenda benki
 
Siyowalikua..sema wakowengisana maaana paka wenyewe alikuwa anawapelekea takilibani kg 20.zanyama kwasiku
 
kuna watu wamehama hapa mjini bila kupenda sababu ya huyu mzee ingawa anawapaga hela pengine hata zaidi ya wanazoitaji. alikuwa akipapenda kwako lazima umuuzie. pale uhuru street alinunua mtaa kuanzia opposite kembice hotel hadi karibia uhuru dampo, sasa alikuwa na tabia ya expansion so ukiwa karibu nae jua muda wowote unanunuliwa tena kwa fedha nono.
aliendaga kwa ndugu yangu pale uhuru street akawaambia 'niuzieni hapa' wakasema hawauzi, akaenda tena mara ya pili wakasema hawauzi, akaenda mara ya tatu akawaambia 'nyie nishawaambia mniuzia hapa vipi' jibu likawa lilelile. ila baadae wakakaa wakajiuliza huyu mzee amepakomalia sana hapa tumuuzieni tu atakuja kutuua! mzee alipotudi tena akakubaliwa kuuziwa, jamaa walipoulizwa bei wakaropoka tu milioni 800 afu mzee akawaambia 'ebu chukueni tu hiyo bilioni 1' mzee palepale akafuata mpunga, jamaa akasema waende benki wakaandikishane, mzee akasema labda hiyo kwa usalama wenu nyinyi ila mimi hamna shida hela hizo huko chukue, zilikuwa kwenye buti la gari. ila jamaa akakataa ndo wakaenda benki
ahaaaaa yani bado watahoji furaha ya nini bado gachuma na mwezie zacaria utajiri huu hutomuacha mtu salama
 
Kiuhalisia malehemu alikuwa na nguvu ya pesa naalijuwa simubabaishaji ili kilichokuwa kikiwashangaza watu ni hayo maka namanjiwa mengi kupitakiasi naalikua na kitukingine utajili wote huo kuona anatunzia pesa ndanimwake nahakuwa kuvamiwa mpaka mauti yanamkuta inasemekana magali yapoli yaliimalisha ulinzi maana wabongo walitaka ukiba maana walikuawanajua kuwa pesa zilikuemo ndani
 
Back
Top Bottom