Mwanza: Sales Person anahitajika

Mateja M.G Yango

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
613
1,093
Anahitajika sales person mwenye vigezo vifuatavyo kwa ajili ya kuuza/kusambaza maji ya chupa. Ofisi ni Nyegezi Kona.

1. Atleast awe amemaliza form six.
2. Mwenye kujiamini na mchangamfu.
3. Mwenye lugha ya biashara na ushawishi kwa wateja.
4. Lazima awe na watu wa kumdhamini, hasa wazazi kama wapo Mwanza.

Kama vigezo hivyo anavyo basi kazi hii itamlipa vizuri. Maana atakuwa anapata commission kwa kile anachokiuza.

Contact: 0713752285
 
Mkuu tafadhari tunaomba ubainishe hiyo commission atakayopata huyo sales person. Na target itakuwa ni kuuza carton ngapi kwa siku ama mwezi na what if ame exceed targeted sales how much is he/she going to earn per each excess carton.(Just put it in percentage)
Is it a contract based job or you will hire him/her permanently?
Show your motive so as to trap a valuable and competent person that will meet the company's pre determined target on sales.
 
Mkuu inakuwa ngumu kuweka mikakati yote online, ila kwa anayehitaji tutayaongea hayo yote in private. Tayari ambao washapiga simu or pm nimeshaongea nao, na hayo uliyoyauliza majibu yake wanayo yote. Ni ngumu tu kuweka kila kitu wazi hata kwa mtu asiyehusika. Maana hapo unaongelea kipato cha mtu.
 
tunaanza na commision tu mkuu, ila kwa ataye proove success basi contract ya mshahara itafuata.
 
Back
Top Bottom