Mwanza: Rais Magufuli amjulia hali dada yake Monica

View attachment 839974
Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Anatibiwa maradhi ya kiharusi. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Pole wote wanaouguliwa akiwemo Mke wa Mheshimiwa Tundu Lissu. Wote tuna mwili wa nyama.
Hiyo aya ya mwisho kuna watu hawataki kusikia jamaa ameshinda kifo. Unatibua nyongo zao.
 
Pole sana mr president!
Pole sana dada!
That’s all!
 
View attachment 839974
Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Anatibiwa maradhi ya kiharusi. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Pole wote wanaouguliwa akiwemo Mke wa Mheshimiwa Tundu Lissu. Wote tuna mwili wa nyama.
Mapenzi ya Mungu yatimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu Sana wewe, mnafiki unajipendekeza, Tunawaombea wafungwa, yatima, wajane, watu waliofukuzwa Kazi, matajiri waliofilisiwa, na wanasiasa wanaoonewa, acha unafiki wewe paka huyo ndo umemwona pekee wa kuombewa? Mbona Tundu Lissu alipopigwa risasi huku Leta mada hapa tumwombee?
Let her die, we all shall die, Hatuwezi kuombea family ya mtu muuaji mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Anatibiwa maradhi ya kiharusi. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Pole wote wanaouguliwa akiwemo Mke wa Mheshimiwa Tundu Lissu. Wote tuna mwili wa nyama.
Leo ndio unajua mke wa Lisu anauguliwa
 
Back
Top Bottom