Mwanza: Rais Magufuli amjulia hali dada yake Monica

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
IMG_20180818_105849.jpeg

Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Anatibiwa maradhi ya kiharusi. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Pole wote wanaouguliwa akiwemo Mke wa Mheshimiwa Tundu Lissu. Wote tuna mwili wa nyama.
 
View attachment 839974
Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using Tapatalk
Aise!!!si wangemfanyia oparesheni kabisa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 839974
Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Anatibiwa maradhi ya kiharusi. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Pole wote wanaouguliwa akiwemo Mke wa Mheshimiwa Tundu Lissu. Wote tuna mwili wa nyama.
Tumuombe ili Iwaje? Jiwe umemuombe na Leo hii unaona hali ilivyo? Jiombee wewe na Mama yako na Baba yako ama Familia yako kiujumla kama Unayo maana Hoja zako sina Walakini!
 
View attachment 839974
Rais John Magufuli akimjulia hali dada yake Monica ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza. Anatibiwa maradhi ya kiharusi. Picha na Ikulu.

My Take;

Tuendelee kuiombea familia ya rais wetu ili dada yake apone haraka. Kila mtu anapitia mapito pale ndugu yake anapopata matatizo.

Pole wote wanaouguliwa akiwemo Mke wa Mheshimiwa Tundu Lissu. Wote tuna mwili wa nyama.
Tunamuombea mgonjwa apone haraka. Kaswali kamoja tu, mkuu wa kaya na wafuasi wake wamelipa nauli au wamesafiri kwa LPO.
 
Pole Sana
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
John Joseph Pombe Magufuli PhD
 
Huyu ndie aliekataza wabunge wasiende kumtembelea Tundu Lissu, sasa ajuwe kuumwa sio kwa wengine tu. Hapa najiuliza hivi hicho kiharusi kilikosea njia baada ya kwenda kwa ndugu mtu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom