Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
muniombee
Mkulu anajiandaa kutoa tamko la kusitisha operation ili aonekana kama yeye ndyo heroJama nauliza tu; Kuna tamko jipya alolitoa mh Rais au?? Mbona hii imetokea kila mahali wala sio Mwanza tu. Semeni sisi wahusika tuondoke wenyewe kwani, akichukua hii biashara yangu ya mashati 10 hapa chini na kwenye waya ya umeme chini ya transifoma kanimaliza kabisa. Kuanzia kesho, nakaa hapa kumngoja yule jamaa aliyekopa shati langu. Biashara, ipumzike mziki uishilie kidogo. Sitaki kuisoma namba kihivyo.
Karibuni tulime kijijini jamani! Huku tunakimbizana na nguruwe pori na sungura!
Mkulu anajiandaa kutoa tamko la kusitisha operation ili aonekana kama yeye ndyo hero