Mwanza: OCD Bukoba, Babu Sanare afariki kwenye ajali ya gari

Ndiyo ulio ukweli mchungu wenyewe.

Songwe na ajali ya watoto wa shule, kule twaambiwa sababu mwendo kasi. Huku panga pangua ngoma itavutiwa kwao.

Hiiiiii bagosha - ni kibwagizo sahihi kuwa sasa nasi tunachoka kutuona sisi ni wajinga wa kudumu.

Hivi hawa jamaa huwa wanatuona je hasa?
Songwe lini tena mkuu?unanitisha? Shule gan
 
Songwe lini tena mkuu?unanitisha? Shule gan

Iko hapa mkuu, sad:

 
Poleni sana kina poti igaka napafaham vizuri pale kutoka madukan kuelekea bonde la mpunga kinafata kijiji cha Ibanda kisha kasamwa mpaka buhalahala hatimae shilabera Geita town
 
Kwahiyo gar ikikaguliwa haiwez kupata ajali? Au waache kukagua mabus
Shangaa na wewe Mkuu, yani kuna Watanzania wajinga kupindukia.
Yani anaona polisi kukagua magari au kudhibiti mwendo barabarani ni ujinga haina maana
 
Back
Top Bottom