Mwanza ni ya kwanza kwa usafi lakini.....

Bhega

Member
Feb 18, 2011
16
1
Nilikuwa napita mitaa ya Ghana yani watu wengi wanaoishi pale mabaki ya vyakula wanatupa barabarani sijui kwa vile mitaa mingi ya Ghana ni vichochoro ,nashidwa hata kutambua ni kwanini inapata nafasi ya kwanza kwa usafi.......naomba munipe muchango wenu kuhusu hili.
 
Nimewahi kuishi hapo miaka ya mwanzoni mwa 2000 na kweli wakati huo kuzunguka kasoko ka kariakoo na pembeni yake hata kilimahewa na mji wote wa Mwanza ulikuwa mchafu sana hata jamaa wakaimba 'mwanza kurekebishwe barabara*2....' lakin leo kweli Mwanza inatakata,inavutia,inapendeza.
 
Waport.
Kuna kibarabara kinapanda juu kuanzia hapo green view kuelekea maeneo ya Mkudi, mara ya mwisho
kukaona kalikuwa very rough, then wakaja kuweka makaravat kwa quotations za juu sana.
kanaendeleaje?
 
Nilikuwa napita mitaa ya Ghana yani watu wengi wanaoishi pale mabaki ya vyakula wanatupa barabarani sijui kwa vile mitaa mingi ya Ghana ni vichochoro ,nashidwa hata kutambua ni kwanini inapata nafasi ya kwanza kwa usafi.......naomba munipe muchango wenu kuhusu hili.

Huwa najiuliza maswali mengi sana nisikiapo kuwa Mwanza inaongoza kwa usafi. Hebu tembelea Soko kuu, soko la Kirumba na Kitangiri. Utatamani kulia..., Nenda kwenya maeneo ya Kilimahewa na mengineyo mengi tu, ni kuchafu hakuna mfano.
Je, wa mwisho kwa usafi panafananaje?
 
Nilikuwa napita mitaa ya Ghana yani watu wengi wanaoishi pale mabaki ya vyakula wanatupa barabarani sijui kwa vile mitaa mingi ya Ghana ni vichochoro ,nashidwa hata kutambua ni kwanini inapata nafasi ya kwanza kwa usafi.......naomba munipe muchango wenu kuhusu hili.

Tokea tuna kuwa mitaaaa ya kuanzia Furahisha / Mission au hapo AIC kwenda hadi Ghana njia ya kwenda Corna ya bwiru hadi kitangiri lile eneo ni la maji kulikuwa na majruba mengi sana, nadhani utaratibu wa kuboresha eneo hilo nililo litaji ni jukumu kubwa sana kwa wakazi wa mwanza esp maeneo husika niliyo yataja kwa hali hiyo kunaitajika mfumo mzuri wa eneo esp mitaro ya maji machafu, kuwepo maeneo mazuria na salama kwa kutupia takataka na hizo Cortes za maeneo yaliyo tajwa jamani nazo zijengwe mpya NSSF na PPF hazinaona au NHS nao hawana project ya kuzikarabati hizo nyumba jamani

My Take;

Jiji la mwanza likipata wataaramu wa mipango miji kweli na wakawa seriously na kazi ya kukuza JIJI basi litakuwa jiji bora sana EAC me nawaambie litakuwa kama Los Angels Marekani na vile lilivyo kwenye maeneo ya mawe wao Rock City My Home waooooooo
 
mwanzakiukweli wanajitahidi sana kwa usafi..!! japo bado moshi ndio inaongoza kwa usafi
 
<span style="font-family: system"><font size="3">mwanzakiukweli wanajitahidi sana kwa usafi..!! japo bado moshi ndio inaongoza kwa usafi</font></span>
<br />
<br />
moshi ni manispaa ya kwanza,mwanza ni jiji la kwanza!
It's jus simple like that! Hopely umeelewa sasa
 
Back
Top Bottom