Mwanza ni NGOME ya CHADEMA, VIongozi halali wa CHADEMA wanakaribishwa MCHANA na USIKU

Wewe bwana ni mzima? Kutuambia CHADEMA Mwanza yote ni Zito ni wehu wa hali ya juu na kututukana. Sisi ni wanachama na wapenzi wa CHADEMA siyo mtu, wewe kama unamhusudu Zito, ni wewe na familia yako. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumhusudu.mtu. Sisi tunakipenda chama na viongozi wote halali wa chama kwa mamlaka yao waliyopewa na katiba ya chama. Zito ametangazwa na mamlaka halali za chama kuwa ni mamluki, atabakia hivyo popote atakapoenda iwe Mwanza au Songea au Mbeya n.k.

Tumia akili unapotoa maoni, Mwanza hatutaki kutukanwa kuwa tunamhusudu msaliti Zito. Akisafishwa na mamlaka halali za chama tutampokea lakini kwa sasa ametangazwa kuwa ni msaliti, na msaliti hawezi kushikamana na sisi wazalendo wa Mwanza.

kamanda achana na hii misukule ya Lumumba iliyovia akili,inadhani mwanza ni mwandiga!
 
hao wote unaowasema akina Slaa, Mbowe, Zitto name it, are enjoying Maulid happilly with their families and friends na kutumiana sms

wewe una gubu na mi uchungu kibao with fake ID,

Nchi yetu inahitaji ukombozi wa fikra watu wajielewe

The fact that u used your valuable time kumuwaza zitto is a fact amekutawala your mind, he is on top of you

You are good in talking for nothing.
 
huyu dogo zzk na kabulu wanatuzalilisha waha na matamaa yao. ili tuonekane waha wote wanatamaa kama ilivyo wao wakati ni wabembe pyua. hakuna muha KABWE wala KABULU hayo ni mabembe ya congo yanakuja kutuchafulia sifa ya mkoa wetu nakama kuna mtu anabisha kama sio wabembe ajitokeze aniambie maana ya hayo majina kwa kiha ndo maana hawana uchungu na nchi hii coz sio yao.
 
Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko

Bahati mbaya Zitto hana Ngome TZ.. Ngome zoote ni CDM,kama c CDM Zitto angejulikana wapi?
Kama yeye anakubalika na anaushawishi zaidi iweje ktk jimbo akose madiwani?
 
Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko

Wananzengo wa mwanza yote tulishaamua wasaliti hawana nafasi na mfano upo hai kwa chagu na mwenzie hawana jipya wanang'aa sharubu tu ..
Huyo msaliti wenu ndo ameisha tumika anafata kutupwa kwenye dust bin tu.
 
Acheni kujindanganya Mwanza siyo ngome ya Chadema hivi mnajua maana ya ngome Chadema Mwanza wana wabunge watatu tu.
 
Huna huja kaka kumbuka kiongozi ni mtumwa wa aliye mchagua kwahiyo watu wanahaki ya kuwajadili viongozi wao pamoja na chama chao.Tatizo watu wa ccm cuf mnatumika sana na huyo zzk pamoja na Mabosi zake wanao mshauri.Kwani nani asiyejua kuwa maamuzi ya kesi ya Zzk yametoka juu pia judge mwenyewe ukweli anao moyoni kuwa kaingiliwa na wanasiasa ambao wapo katika serikali hii.leo naishia hapo mkiniambia nilete ushahidi nitaleta.
 
trezguet kama unaushahidi leta tu kaka hii ndo JF hakuna kitu kitabaki siri hususani kama kinagusa maslahi ya UMMA
 
Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko
Hahahaha wee kinachokusumbua ni mgao Wa laki na nusu...unadhan mza watu ni mburala ka wewe....wapokea laki na nusu ka we na chagulan ndo hamjielewi tuu
 
Back
Top Bottom