fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Mwanz, Mwanza, Mwanza haiwezi kuyumbishwa na mtu mmoja na kikundi chake, ni ukweli kuwa tunafahamu kuwa madiwani kadhaa wanatumiwa kukiangusha chama, na ni kweli kuwa hao madiwani wako karibu na msaliti mkuu wa chama kwa taarifa zilizopo mtaani, hivyo CDM na wananchi wa Mwanza tuko makini sana, na ukweli ni kwamba hakuna msaliti anayeweze kuzuia viongozi wakuu wa CDM kuja mwanza, awe diwani au washirika wake, madiwani wanaotumiwa wanafahamika miaka iliyopita, sasa leo wanakuna eti mwenyekiti wa umoja wamatawi ya CDM mwanza anapiga marufuku viongozi kuja mwanza. NJAA ZENU HAZITA ATHIRI MAISHA YETU, USALITI WENU HAUTAYUMBISHA MWANZA
Sisi wanamwanza na wanachadema mwanza tunasema viongozi wakuu na wengine wowote mnakaribishwa sana Mwanza.
Ukweli kuwa MZA ni ngome a CDM haina upinzani na ni fursa ambayo CDM n viongozi wake wamepewa n wananchi wa Mwanza akunawa kuiondoa.
Karibu Sana Mbowe na Slaa