Mwanza ni NGOME ya CHADEMA, VIongozi halali wa CHADEMA wanakaribishwa MCHANA na USIKU

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Mwanz, Mwanza, Mwanza haiwezi kuyumbishwa na mtu mmoja na kikundi chake, ni ukweli kuwa tunafahamu kuwa madiwani kadhaa wanatumiwa kukiangusha chama, na ni kweli kuwa hao madiwani wako karibu na msaliti mkuu wa chama kwa taarifa zilizopo mtaani, hivyo CDM na wananchi wa Mwanza tuko makini sana, na ukweli ni kwamba hakuna msaliti anayeweze kuzuia viongozi wakuu wa CDM kuja mwanza, awe diwani au washirika wake, madiwani wanaotumiwa wanafahamika miaka iliyopita, sasa leo wanakuna eti mwenyekiti wa umoja wamatawi ya CDM mwanza anapiga marufuku viongozi kuja mwanza. NJAA ZENU HAZITA ATHIRI MAISHA YETU, USALITI WENU HAUTAYUMBISHA MWANZA

Sisi wanamwanza na wanachadema mwanza tunasema viongozi wakuu na wengine wowote mnakaribishwa sana Mwanza.

Ukweli kuwa MZA ni ngome a CDM haina upinzani na ni fursa ambayo CDM n viongozi wake wamepewa n wananchi wa Mwanza akunawa kuiondoa.

Karibu Sana Mbowe na Slaa
 
..."ccm ni wepesi sana"mbinu zao chafu huwa hazidumu zaidi ya kutupa umaarufu,ngoja wakauone mziki wetu mjengoni...
 
Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko

Wewe utakuwa unafikiri kwa kutumia ma------. Tangu lini mwanza ikawa ngome ya Zitto? Mwanza ni ngome ya cdm na sio ngome ya mtu. Acha upimbi.
 
Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko

Bahati nzuri ni mtu wa Mwanza, ni mtu wa KIGOMA, ni tu wa DAR na ni mtu wa SIMIYU pia, nachukia usaliti usaliti wa UMMA, sipendi unafiki maana ZZZK tunaomfahamu alivyokuwa na alivyolegea tangu 2008 hatukuhitaji nyaraka kujua ni msaliti kiaina, ni sasa tu imekuwa wazi kwa jamii pana, akanushe hoja moja baaada ya nyingine ili wanatoa shutuma wathibitishe au washidwe tumheshimu kwa hilo
 
Kelele nyingi, ni kama wapiga debe ujue chombo karibu kuondoka kuelekea Ikulu, CDM haifi inamalika baada ya waasi kuondoka kikiwa kizima waacheni waende
 
Si ajabu kusikia mtu kapigwa stop Mwanza, Hapo Mwz kuna serious opposition kutoka kwa wanachi wenyewe. Iwao sio kiongozi wala mwanachama wa hiari wa CDM, ni wa mahakama kazi ipo Mwanza
 
Nakubaliana nawe mkuu ambae hataki Viongozi wakuu wa CDM aanzishe chama chake
 
Kelele nyingi, ni kama wapiga debe ujue chombo karibu kuondoka kuelekea Ikulu, CDM haifi inamalika baada ya waasi kuondoka kikiwa kizima waacheni waende

Ni kweli mkuu ushindi madhubuti umepatikana. Marumbano sasa bas tujenge chama mradi fagio la chuma alilopewa Mzee
Mwinyi CCM wakalitupa CDM wamelitumia vema. Viva CDM
 
Wakuu mbona Mnabishana saaana... kumbukeni Maneno mengi HAYAVUNJI MFUPA... Waacheni Wamlete tu... Wallah! tena hakuna Dharau zaidi ya hii...atapanda Jukwaani lakini?...hakika hata kama ni wapi ntafika huko! NGOJA NIENDE KEMONDO SAIVI NKAPUNGUZE HASIRA.
 
Wewe bwana ni mzima? Kutuambia CHADEMA Mwanza yote ni Zito ni wehu wa hali ya juu na kututukana. Sisi ni wanachama na wapenzi wa CHADEMA siyo mtu, wewe kama unamhusudu Zito, ni wewe na familia yako. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumhusudu.mtu. Sisi tunakipenda chama na viongozi wote halali wa chama kwa mamlaka yao waliyopewa na katiba ya chama. Zito ametangazwa na mamlaka halali za chama kuwa ni mamluki, atabakia hivyo popote atakapoenda iwe Mwanza au Songea au Mbeya n.k.

Tumia akili unapotoa maoni, Mwanza hatutaki kutukanwa kuwa tunamhusudu msaliti Zito. Akisafishwa na mamlaka halali za chama tutampokea lakini kwa sasa ametangazwa kuwa ni msaliti, na msaliti hawezi kushikamana na sisi wazalendo wa Mwanza.

Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko
 
CDM ni imara zaidi sehemu zote za nchi kuliko awali, hongera Dr. Slaa kwa kuteuliwa na shirika la ujerumani kuwa mwanasiasa bora kabisa AFRIKA 2013.
 
hao wote unaowasema akina Slaa, Mbowe, Zitto name it, are enjoying Maulid happilly with their families and friends na kutumiana sms

wewe una gubu na mi uchungu kibao with fake ID,

Nchi yetu inahitaji ukombozi wa fikra watu wajielewe

The fact that u used your valuable time kumuwaza zitto is a fact amekutawala your mind, he is on top of you
 
hivi huo ni mkwara au maelezo ?
 
Kama nilisimama getini kushinikiza matokeo ya ubunge yatangawe dhidi ya CCM na Masha, leo nitasimama tena kuheshimu chama na viongozi halali.
 
Fikiri kwanza. Unachekesha na wewe ni cdm na hupo Mza?? Maana cdm Mza yote ni Zitto. Kalale huko

mbona povu bwana mdogo?mwanza ni jiji la walume ndago,mambo yenu ya kikekike na zitto pelekeni mwandiga! tumempiga stop kuja mwanza kwa mgongo wa cdm,labda aje kwa magamba wenzie!
 
Back
Top Bottom