Mwanza ni kiini cha mabadiliko ya kiutawala Tanzania!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
17,871
33,236
Mwanza imerudi tena kwenye kuweka historia ya kubadili hali ya mambo Tanzania. Mwanza ndiko TANU waliiona nguvu ya vyama vya ushirika na kuamua kuviingilia ili kuua nguvu yake kwa wakulima wa Kanda hiyo.

Mwanza ndiko CCM waliona sherehe za "Nane nane" zitekwe nyara na chama hicho ili kibakie salama dhidi ya wakulima wa tanzania. Mwalimu alitembea kwa miguu kutoka kwao Butiama hadi Mwanza kuunga mkono "Azimio la Arusha".

Mwanza ndiko Rais Magufuli alitoa amri ya kutokubughudhiwa kwa wamachinga mpaka Halmashauri ziwe na mipango ya wapi pa kuwapeleka toka kule walikokuwa. Leo tena Rais amesimamisha ubomoaji wa nyumba jijini humo.

Watanzania wajue kwamba Mwanza ni kama mtoto ndani ya tumbo la mama yake kabla ya kuzaliwa. Mtoto huwa tumboni mwa mama yake lakini si sehemu ya mwili wa mama yake na ndiyo maana ikifika miezi 9 ni lazima atoke kwa hiyari ama atatolewa kwa lazima kama atachelewa kutoka.

Watanzania wanapaswa kujua kwamba Mwanza ni sehemu ya Tanzania lakini ni sehemu tofauti na sehemu zingine za Tanzania. Kama watu wa Mtwara wana kero zinazofanana na watu wa Mwanza wanachotakiwa kufanya ni kuwaambia watu wa Mwanza waipiganie ili na wao wa Mtwara wafaidike na kitakachoamuliwa Mwanza!

Mwimbaji Dk. Remmy Ongala alilijua hilo na ukiusikiliza wimbo wake wa "Safari ya Mwanza" utaelewa nguvu ya Mwanza katika Tanzania!
 
Wanasiasa wanaangalia nguvu ya wapiga kura iko wapi? Jiulize Mwanza walipoamua kwenda upinzani 2010 kanda ya ziwa kilitokea nini? Karibu mikoa yote ya kanda ya ziwa walifanya mabadiliko, Mwanza walipofuta upinzani 2015 mikoa mingine ya kanda ya ziwa kilitokea nn? kwa ufupi kanda ya ziwa ina nguvu sana ya kuamua nani awe rais wa JMT , politicians knows that na wanatumia mbinu zote kupata kuungwa mkono.
 
Kanda ya ziwa kwa ujumla.
 
Ukiona mtu anang'ang'ania kwa ukabila ujue huyo mtu hana hoja ya kuinfluence watu, halafu watu wanasema jamaa sio msukuma ni mzinza sema anajua tu kisukuma hao wazinza sijui wanatokea sehemu gani hapa Tanzania
 
Ila anacho fanya ni kuligawa taifa raisi anamatatizo ya akili hata kama ni nguvu ya wapiga kura siyo kutamka hadharani kwamba nyie siwabomolei kwasababu mlinipa kura nyingi
 
Usiseme mwanza Sema Usukumani, wasukuma wana ukabila sana.....naanza kuona harufu ya ukabila inamea TZ
Kama wasukuma wangekuwa wana ukabila usingeona makabila mengine yakishamili kibiashara katika maeneo ya wasukuma.

Leo hii ukienda kwenye mikoa yenye wasukuma wengi utakuta wafanyabiashara wa kichaga wamejaa na biashara zao zinapata mafanikio makubwa kwa sababu wanunuzi ni wasukuma.

Wakina dada wengi wa makabila mengine wameolewa na wasukuma.

Kwa ujumla, wewe unaodhani wasukuma wana ukabila inawezekana ukawa ni mkabila namba moja.

Huwezi kujua kama fulanio ni chawi kama huna elimu ya kichawi!

Acheni kuwalazimisha wasukuma wawe wakabila na siku wakiwa wakabila itakuwa ni jadi kwa serikali kuongozwa na watu kutoka katika kabila la wasukuma. Kwenye siasa, namba zinahesabika!
 
Ukiona mtu anang'ang'ania kwa ukabila ujue huyo mtu hana hoja ya kuinfluence watu, halafu watu wanasema jamaa sio msukuma ni mzinza sema anajua tu kisukuma hao wazinza sijui wanatokea sehemu gani hapa Tanzania
Wazinza ni Kabila dogo lililopo kati ya Sengerema na Geita
 
Kama wasukuma wangekuwa wana ukabila usingeona makabila mengine yakishamili kibiashara katika maeneo ya wasukuma.

Leo hii ukienda kwenye mikoa yenye wasukuma wengi utakuta wafanyabiashara wa kichaga wamejaa na biashara zao zinapata mafanikio makubwa kwa sababu wanunuzi ni wasukuma.

Wakina dada wengi wa makabila mengine wameolewa na wasukuma.

Kwa ujumla, wewe unaodhani wasukuma wana ukabila inawezekana ukawa ni mkabila namba moja.

Huwezi kujua kama fulanio ni chawi kama huna elimu ya kichawi!

Acheni kuwalazimisha wasukuma wawe wakabila na siku wakiwa wakabila itakuwa ni jadi kwa serikali kuongozwa na watu kutoka katika kabila la wasukuma. Kwenye siasa, namba zinahesabika!
Hili tatizo la Ukabila kwa kiasi kikubwa linapigiwa chapuo na Wachaga.

Wao by nature ni Divifist na ndio huwa wako radhi hata kuvunja undugu na kila mtu kuanzisha ukoo wake. Wanajiita Wachaga when they are in other societies but kwao hakuna mchaga
 
Mwanza imerudi tena kwenye kuweka historia ya kubadili hali ya mambo Tanzania. Mwanza ndiko TANU waliiona nguvu ya vyama vya ushirika na kuamua kuviingilia ili kuua nguvu yake kwa wakulima wa Kanda hiyo.

Mwanza ndiko CCM waliona sherehe za "Nane nane" zitekwe nyara na chama hicho ili kibakie salama dhidi ya wakulima wa tanzania. Mwalimu alitembea kwa miguu kutoka kwao Butiama hadi Mwanza kuunga mkono "Azimio la Arusha".

Mwanza ndiko Rais Magufuli alitoa amri ya kutokubughudhiwa kwa wamachinga mpaka Halmashauri ziwe na mipango ya wapi pa kuwapeleka toka kule walikokuwa. Leo tena Rais amesimamisha ubomoaji wa nyumba jijini humo.

Watanzania wajue kwamba Mwanza ni kama mtoto ndani ya tumbo la mama yake kabla ya kuzaliwa. Mtoto huwa tumboni mwa mama yake lakini si sehemu ya mwili wa mama yake na ndiyo maana ikifika miezi 9 ni lazima atoke kwa hiyari ama atatolewa kwa lazima kama atachelewa kutoka.

Watanzania wanapaswa kujua kwamba Mwanza ni sehemu ya Tanzania lakini ni sehemu tofauti na sehemu zingine za Tanzania. Kama watu wa Mtwara wana kero zinazofanana na watu wa Mwanza wanachotakiwa kufanya ni kuwaambia watu wa Mwanza waipiganie ili na wao wa Mtwara wafaidike na kitakachoamuliwa Mwanza!

Mwimbaji Dk. Remmy Ongala alilijua hilo na ukiusikiliza wimbo wake wa "Safari ya Mwanza" utaelewa nguvu ya Mwanza katika Tanzania!
Allen

Mungu awajaalieni sana mnaodhani hii issue ni simple
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom