Mwanza - Naomba connection na wapenzi wa dagaa toka ziwa nyasa (dagaa nyasa) na kahawa safi toka mbinga - Ruvuma.

Joined
Feb 24, 2019
Messages
5
Points
20
Joined Feb 24, 2019
5 20
Nawasalimu wakuu,
Mimi naishi Jijini Mwanza kimasomo lakini nina wazo la kuuza "dagaa Nyasa" na "KAHAWA toka Ruvuma" hukuhuku Mwanza kwasababu nimegundua wahitaji wapo. Kiukweli nimeshaanza kulifanyia kazi wazo langu na naona matumaini. Nafanya mawasiliano na mteja na nafanya deliverance mwenyewe hadi alipo.
Kikubwa ninachowaomba great thinkers nipate ushauri wa Njia ya kuwafikia watu wanaopenda bidhaa yangu (esp wanaotoka RUVUMA, IRINGA NA MBEYA) na hat kama personally ukanipa connection nae direct nitashukuru pia.

I'm looking for your positive response..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,364,565
Members 520,767
Posts 33,320,118
Top