Kwa sasa Kulalamika hakusaidiii,pia kudhani kwamba matukio ya kukamatwa viongozi wa kisiasa na kuripotiwa na vyombo vya kimataifa ni suluhisho,hapana vyombo vya kimataifa kwa sasa vinataka kuona hatua zaidi kuonekana kutoka kwa wafuasi wa viongozi hao siyo kuishia kuandika"FreeSomeOne".Tutambue vyombo vya kimataifa na mataifa wanataka kuona hasira za wafuasi na wananchi kudai na kupinga viongozi kuachiwa.sasa hatua kwa sasa ni moja Maandamano nchi nzima mithiri ya S.Afrika.We born once and Die Once no matter it cost.
IMG-20210721-WA0050.jpg
 
Najua wapinzani hawawezi kuelewa hili lakini ndio ukweli.

Kuwaacha Chadema wafanye kongamano kisha wangefanya maandamano na ingeibuka hali ambayo kila mtu angekuja kujutia.

Kwaio polisi kufanya vile mi naona ni sawa, Tz kwa sasa serikali hii bado ni mpya, bado inahitaji muda kuweka mambo sawa na imeanza vizuri, mambo kama kuongezeka kwa tozo ni matokeo au muendelezo wa utawala ulopita kwenye mambo ya mapato.

Wapinzani wakati mwingine inabidi wawe watulivu na wawe wanajaribu kuelewa hali halisi sio kila kitu wanashikilia
Hao wanafanya kitchenparty,bladifaken punguani wahed
tapatalk_1626874233938.jpeg
 
pumbavu.....mlikuwa kimya hapa enzi za mwendazake.

mama kaja na usataarabu na kuwaachia vijana wenu kibao kutoka kifungoni mnataka kumletea za kuleta!! natamani akaze zaidi.....andamaneni tukutane!
 
Kwa sasa Kulalamika hakusaidiii,pia kudhani kwamba matukio ya kukamatwa viongozi wa kisiasa na kuripotiwa na vyombo vya kimataifa ni suluhisho,hapana vyombo vya kimataifa kwa sasa vinataka kuona hatua zaidi kuonekana kutoka kwa wafuasi wa viongozi hao siyo kuishia kuandika"FreeSomeOne".Tutambue vyombo vya kimataifa na mataifa wanataka kuona hasira za wafuasi na wananchi kudai na kupinga viongozi kuachiwa.sasa hatua kwa sasa ni moja Maandamano nchi nzima mithiri ya S.Afrika.We born once and Die Once no matter it cost.View attachment 1862634
Yule kenge wenu alianzisha maandamano 2020 alifanikiwa ,Mange kimambi alifanikiwa ? maandamano yenu kwenye mitandao mlikuwa mkoo juu ,ila fujo zenu za hivi karibuni vijana wengi wameanza kuwananga pia ,na mkishakataliwa kwenye mitandao sijui mtaenda nchi gani?labda machame ijitenge iwe ni nchi kamili.
 
Kwani mikoa iliyopita kulikua na maandamano??
Kama walitaka kufanya maandano bila kibali ni sahihi kusitishwa lakini kama ni kongamano kama ilivofanyika mikoa mingine aisee wameonewa sana.

Ni mkutano wa ndani ya chama why wasumbuliwe namna hiyo.
 
Najua wapinzani hawawezi kuelewa hili lakini ndio ukweli.

Kuwaacha Chadema wafanye kongamano kisha wangefanya maandamano na ingeibuka hali ambayo kila mtu angekuja kujutia.

Kwaio polisi kufanya vile mi naona ni sawa, Tz kwa sasa serikali hii bado ni mpya, bado inahitaji muda kuweka mambo sawa na imeanza vizuri, mambo kama kuongezeka kwa tozo ni matokeo au muendelezo wa utawala ulopita kwenye mambo ya mapato.

Wapinzani wakati mwingine inabidi wawe watulivu na wawe wanajaribu kuelewa hali halisi sio kila kitu wanashikilia
Kwa hiyo umeamua kuwaza kwa niaba ya CHADEMA?Ulipanga nao mipango ijayo au unabuni na kuhisi tu?
 
Najua wapinzani hawawezi kuelewa hili lakini ndio ukweli.

Kuwaacha Chadema wafanye kongamano kisha wangefanya maandamano na ingeibuka hali ambayo kila mtu angekuja kujutia.

Kwaio polisi kufanya vile mi naona ni sawa, Tz kwa sasa serikali hii bado ni mpya, bado inahitaji muda kuweka mambo sawa na imeanza vizuri, mambo kama kuongezeka kwa tozo ni matokeo au muendelezo wa utawala ulopita kwenye mambo ya mapato.

Wapinzani wakati mwingine inabidi wawe watulivu na wawe wanajaribu kuelewa hali halisi sio kila kitu wanashikilia
We n mpuzi tu, hivyo tunapasws kukupuza!!
 
Yule kenge wenu alianzisha maandamano 2020 alifanikiwa ,Mange kimambi alifanikiwa ? maandamano yenu kwenye mitandao mlikuwa mkoo juu ,ila fujo zenu za hivi karibuni vijana wengi wameanza kuwananga pia ,na mkishakataliwa kwenye mitandao sijui mtaenda nchi gani?labda machame ijitenge iwe ni nchi kamili.
Miingoni mwa wajinga umo
 
unapomwambia mtu atake asitake utafanya utakacho sasa yeye akifamya mnaanza tia huruma
Under what act in our current constitution that prohibit political activities in the nation? The President has no power to prohibit political activities in the nation. Unless we seek for the new constitution.
 
Back
Top Bottom