Mwanza: Mgogoro Kati ya machinga Halmashauri ya jiji na Polisi

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kuna mkusanyiko mkubwa wa watu mida hii hapa eneo la sokoni Jijini Mwanza

Wamachinga wamegoma kutoka eneo la sokoni wanakouzia biashara zao

Kina mama wapo mstari wa mbele kupiga kelele wakipinga kuondolewa eneo hili na kupelekwa kwenye soko jingine eneo la mbugani

Barabara ya Pamba kuanzia njia panda ya miti mirefu Hadi round about ya Nyerere road haipitiki

Watu ni wengi mno.

Nimeshindwa ku-upload video.
IMG_20191115_083247.jpeg
IMG_20191115_083235.jpeg
IMG_20191115_083219.jpeg
IMG_20191115_083138.jpeg
 
Mwanza imekuwa na ongezeko la watu limekuwa kubwa sana, niwakati sasa watu wanapaswa wakubaliane na mabadiliko kwaajili ya maendeleo yao sasa
 
Back
Top Bottom