Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,829
- 33,224
Mkuu wa Mkoa tumbo motoHapo yupo na Mbunge wa Nyamagana na Mkuu wa Mkoa natumaini atafidiwa zaidiView attachment 2191012
Mkuu wa Mkoa tumbo motoHapo yupo na Mbunge wa Nyamagana na Mkuu wa Mkoa natumaini atafidiwa zaidiView attachment 2191012
Ameshapewa pilau atatumika kukipamba chama chetuTukutane 2025
Haha...Ameshapewa pilau atatumika kukipamba chama chetu
Bora nchi ijiongoze yenyewe tuHaha...
Huu upinzani wa wachumia tumbo eti ndio unataka tuupe nchi... Mara mia tuongozwe na Makamba Jr ila siyo hawa.