Mwanza: Mfanyakazi wa Bucha akutwa amejinyonga

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
207
453
Mkazi wa Malimbe kata ya Luchelele Mkoa wa Mwanza amekutwa amejinyonga kwenye bucha majira ya asubuhi.

Taarifa iliyotolewa na mmiliki wa bucha inasema ilikuwa kawaida yake kuwahi kufanya usafi kwenye bucha.
Jeshi la polisi limechukua mwili wa marehemu kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Source via Mussa Elias.
 
Mpaka tusome Havana ndio tujue Kipare? Hamna kinachoua sana na kwa haraka ka.a stress. Ukiwa na stress unaweza ukawa ndani umekufa na ume.jizika kabisa, illa watu wengine wanadhani u mzima
Hata kutembea na mke wa mtu inaua kwa stress. Muulize Katibu wa Kanisa la Mkandamizaji

Kuna stress nyingi sana zinaua ambapo hata Lwajabe alikufa kwa stress
 
Kashindwa kulitumia bucha vizuri kama kupika supu na mchana ugali nyama choma.
Mateja wenyewe wanafurahi kwenda jela kupata ugali na ndondo lilokosa ushirikiano na mchuzi.
 
Back
Top Bottom