Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA

umesahau sio Umeya peke yake na Naibu wake, kwa Faida ya wana JF MEYA ni JOSEPHAT MANYERERE na NAIBU MEYA ni CHARLES MARWA.
 
CHADEMA yashinda Umeya Mwanza kwa kura 17 kwa 15:A S 8:
Democrasia nzuri ni kukubali kuwa mwenzako ameshinda na hiyo anastahili kuwa kiongozi wako. Tatizo letu Watanzania ni kuwa kuna baadhi yetu wanaamini kuwa nchi hii ni ya mtu au chama fulani. Hayo mawazo ni potofu sana. Nchi hii ni yangu mimi na wewe. Ni yetu sote. Ni YETU.
 
@ Kituko...vipi tukiexchange herufi za mwisho za nick name zetu??
 
Hivi kafu (cuf) bado wanajiita ni an opposition party ?? Yaani wanawasaidia ccm ktk upigaji kura! Shame on them!!
Njaa zinawasumbua

CUF njaa inawasumbua. Wana CUF wenzao walipigwa mabomu Darisalama na hao hao CCM, eti leo wanaungana nao. Wapinzani wakweli Tanzania ni CHAMEMA tu. Hongera CDM, Aluta Continua.
 
CHADEMA yashinda Umeya Mwanza kwa kura 17 kwa 15:A S 8:

Kwangu mimi hii naona HUU USHINDI NI ZAWADI YA MASHUJAA WETU WALIOKUFA AU KUUMIZWA NA AU KUTIWA NGUVUNI. Hakika ni zawadi ya MWAKA MPYA KWA WANA-CDM WOTE.

Hizi ni dalili njema za kuingia Ikulu 2015. Bravo CHADEMA.
 
Tunaomba utupatie source mkuu Buswelu, au ndo uko mitaa ya buswelu.:music:
 
Huyu ndiye meya mpya wa jiji la Mwanza kupitia CHADEMA Bw.Josephat Manyerere(kulia) akipongezwa na mbunge wa Nyamagana Mh.Wenje, na kwa chati pembeni ni diwani wa Mwaloni Kirumba Bw.Novat Manoko.
 
Buswelu habari za ukweli hizooo?

SMS niliyopokea kama one hour ago ni kuwa CHADEMA wamenyakua kiti cha umeya Mwanza. Hakika kama kusingelikuwepo mizengwe CCM Kingekuwa chama cha upinzani. Naibu meya pia anatoka CHADEMA kwa sms niliyoipata punde. Meya ni Manyerere.
 
Back
Top Bottom