Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza - Meya na Naibu wake wachaguliwa toka CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpita Njia, Jan 6, 2011.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa matangazo ya RFA hivi punde... mgombea wa Chadema amepata kura 17 wakati wa CCM amepata kura 15 (sikuweza kuyakariri majina yao haraklaharaka) sasa hivi wanachagua naibu meya
   
 2. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yanayotokea Arusha kwa Mwanza hakuna tena, ni baada ya haki kutendeka.

  Source: RFA
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Peopleeeeezzzzz!!!!!!!!!!!!!!!

  Matokeo ya vurugu za jana zimewafanya washindwe kuchakachua matokeo.
  CHADEMA tukomae kama kawaida mpaka kieleweke.
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mungu aibariki tanzania,mungu mbariki Dr.Slaa(Phd) mungu ibariki chadema.
   
 5. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nani kaukwaa umeya jijini Mwanza??
   
 6. zagalo

  zagalo Senior Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  naona wanaanza kuogopa kuchakachua
   
 7. J

  Jmpambije Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii Imetulia,
  Thanks
   
 8. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  At least some good news to lighten up the day after! Thank you God for giving the people the leader they desire
   
 9. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Walikuwa wanatumia Arusha kama litmus paper kupima nguvu ya Chadema. Kuachia umeya wa Mwanza siku moja baada ya salamu za Chadema Arusha ni ishara kwamba CCM imesalimu amri kwa Chadema.

  Aluta continua!
   
 10. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Imetuliia
   
 11. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Ok KMpita njia mkipata majia mtupatie.
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  viva chadema A LUTA CONTINUA
   
 13. y

  yegomwamba Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tuhabarishe tafadhali nani kachukua umeya jijini Mza?jina ni muhimu
   
 14. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wangethubutu nadhani mikoa yote ingekuwa hatari. Na bila situation ya jana hata Mwanza ingekuwa hivyo hivyo!
   
 15. c

  cray Senior Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  This is the thing we exactly wanted. They tested and had an answer.
   
 16. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Hii ni habari njema hapo inatakiwa kazi tuu
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Congratulations to chadema mwanza
   
 18. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  HONGERENI WAKAZI Wa MWANZA KILA MARA MMEFANYA UAMUZI SAHIHI ENDELEENI HIVI HIVI MTAPATA DHAWABU YA UONGOZI BORA NA UTAWALA SALAMA
   
 19. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Big up CDM
   
 20. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mshindi Meya wa Mwanza ni Julius Manyerere (Chadema) amepata kura 17 Wakati wa CCM amepata Kura 15 Naibu Meya wa Mwanza Mshindi Ni Charles Chibela ( Chadema) Amepata kura 18 wakati wa CCM amepata Kura 14
   
Loading...