Mwanza: Mbunge Mansoor(CCM) akwepa kodi ya mamilioni, ashirikiana na watumishi kuchezea mfumo

Vituo anavyomiliki ni MOIL na sio Oil com, Oil com wamebase dar ndio wenye vituo vya camel, wana maji ya water com, na cement ya camel


Sent from my iPhone using JamiiForums
OK asante kwa kunikumbusha,2015 nilikutana nae Hungumalwa kwimba ,alikuwa anagawa pesa kwa wananchi wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi, mtu akikataa kulipa kodi anashtakiwa kwa karibu wake wa chama au mahakamani?

Waziri kachemka hapa kwa kumshtakia mkwepa Kodi CCM badala ya mahakamani! Au ndio ni muendelezo wa kulindindana na kuogopana kwa sababu mdaiwa anatokea Kanda pendwa?
 
Kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako,utaelewa baadae kwanini Lukuvi anamripoti kwa Bashiru
Hivi, mtu akikataa kulipa kodi anashtakiwa kwa karibu wake wa chama au mahakamani? Waziri kachemka hapa kwa kumshtakia mkwepa Kodi ccm badala ya mahakamani! Au ndio ni muendelezo wa kulindindana na kuogopana kwa sababu mdaiwa anatokea Kanda pendwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako,utaelewa baadae kwanini Lukuvi anamripoti kwa Bashiru

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye mjinga usiyeelewa juu ya makosa ya jinai yanakoshtakiwa! Kuukwepa Kodi ya serikali ni jinai na mahala sahihi pa kushtakiwa ni mahakamani na siyo ccm! Sijui vyura ninyi elimu yenu mliisomea wapi!
 
angekuwa wa chadema ungeshasikia siku nyingi mkuu wa wilaya kashataifisha ardhi yake. Lakini kwa kuwa ni nzi wa kijani utasikia malalamiko tu
 
Mnasihi ,

..Magufuli, wakati akiwa waziri wa ujenzi, aliamuru kituo cha mafuta alichokuwa akimiliki Mansoor kivunjwe kupisha ujenzi wa barabara.

..Mansoor akashitaki na MAHAKAMA ikaamuru serikali imlipe fidia ya Tsh 14+ billion. Katika hukumu yake mahakama ilisema Magufuli alipuuza ushauri wa wanasheria / wataalamu.

..Sina uhakika kama Mansoor atarudi kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom