Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

bila shaka nyie ni wasukuma typical, endeleen kuwachungisha ng'ombe watoto wenu badala ya kuwapeleka shule wakasome waje kuwakomboa hapo baadae, mmepigwa gap sana hata na jiran zenu. mmeshindwa kuiga mfano hata kwa hao jiran zenu wahaya! mtaendelra kutumikishwa maofisin maana ajira yenu kubwa hapo mjini ni ulinzi, usafi wa madirisha maofisin, shoeshine, ukokozi ziwani and the like! poleni sana vichwa vyenu bado viko katika usingizi wa milele!

Utabwabwaja sana Leo hadi koo likukauke ule ukweli tumekuweza uwaziri huupati ng'oo kachunge ng' ombe atakapo kuwepo mzee wenu sisi maisha yanaendelea .
 
mwanza mpo juu sana...sio huku dar mandezi wameshikwa akili na watu wa kaskazini...yani na akili zangu timamu kabisa nilipigie kura jizi badala ya john pombe...big NO
 
  • Thanks
Reactions: nao
bila shaka nyie ni wasukuma typical, endeleen kuwachungisha ng'ombe watoto wenu badala ya kuwapeleka shule wakasome waje kuwakomboa hapo baadae, mmepigwa gap sana hata na jiran zenu. mmeshindwa kuiga mfano hata kwa hao jiran zenu wahaya! mtaendelra kutumikishwa maofisin maana ajira yenu kubwa hapo mjini ni ulinzi, usafi wa madirisha maofisin, shoeshine, ukokozi ziwani and the like! poleni sana vichwa vyenu bado viko katika usingizi wa milele!

Tafuna limao.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Waungwana,
Mbunge wa zamani wa ukerewe Machemli ambaye alihama CHADEMA na kujiunga na chama cha ACT - Wazalendo ameambulia kura 1810 tuu katika uchaguzi wa mwaka huu 2015.

Mwaka 2010, Machemli alipata kura zaidi ya elfu thelathini na sita (36K+), imekuwaje mwaka huu aporomoke kiasi hiki ilhali ametoka bungeni juzi tu!

Au kwakuwa aliingia kwenye chama kichanga?

Lakini mbona Machali yeye kadondoshwa kwa kura chache tu, maana kapata zaidi ya kura 25K?

Kwanini wananchi wa Ukerewe wamempuuza Machemli kiasi hiki?

Maana hata Kalapina kupitia ACT pale Kinondoni kapata kura 8000..

Najiuliza maswali na nabaki kumsikitikia Macheli.:yawn:

Machemuli hana sifa za kuwa tena mwakilishi na ndio maana kapata kura hizo .
Alidhani atazigawa kura za chadema/Ukawa ila hakusoma alama za nyakati
Aende akavue tu samaki
 
Mwanza mmetia aibu sana , dar na mbeya wamefanya vizuri lakini Mwanza mmetia kinyaa. Mlideki bara bara tukadhani ni mahaba, mlilala guest kumlinda Lowasa tukadhani ni mahaba, mlilala uwanjani kumsubiri lowassa tukadhani mna mahaba ya kweli kumbe ni wanafiki wakubwa. Dar , mbeya , arusha mmeonyesha kweli mahaba na mmewathibitishia watanzania nyie ni watu mnao jitambua.
Nyie mwanza ni sawa tu na mashabiki wa Juma Nature mnajaza ukumbi kwenye show zake lakini hawanunua album zake.
waliopiga deki mkuu walitoka Arusha wao ni spesheli kwa kupiga deki barabara pia ni maarufu kwa kuzimia
 
Sasa Tunapotaka tupelekane wakuu sipo kabisa!! Yaani mchana kweupe bila hata haya mnaingiza Ukabila just like that??! Kabisa yaani 'makamanda' hii nayo ni silaha mmeona inafaa kupigania Mabadiliko? Tena mnaowatuhumu kwa Ukabila ni #Wasukuma!!? Are you guys for real? Yani Wasukuma hawa hawa tunawajua wa kanda ya Ziwa??! Kama mambo mmeamua kuyapeleka huko basi hali itaenda kuwa mbaya zaidi ya ilivyo!#Mimi sio Mtanzania kwa sababu nimezaliwa wa Tanzania, Mimi ni Mtanzania kwa sababu Tanzania imezaliwa ndani yangu!!!#LifeIsStrange
 
Sasa Tunapotaka tupelekane wakuu sipo kabisa!! Yaani mchana kweupe bila hata haya mnaingiza Ukabila just like that??! Kabisa yaani 'makamanda' hii nayo ni silaha mmeona inafaa kupigania Mabadiliko? Tena mnaowatuhumu kwa Ukabila ni #Wasukuma!!? Are you guys for real? Yani Wasukuma hawa hawa tunawajua wa kanda ya Ziwa??! Kama mambo mmeamua kuyapeleka huko basi hali itaenda kuwa mbaya zaidi ya ilivyo!#Mimi sio Mtanzania kwa sababu nimezaliwa wa Tanzania, Mimi ni Mtanzania kwa sababu Tanzania imezaliwa ndani yangu!!!#LifeIsStrange
 
Sasa Tunapotaka tupelekane wakuu sipo kabisa!! Yaani mchana kweupe bila hata haya mnaingiza Ukabila just like that??! Kabisa yaani 'makamanda' hii nayo ni silaha mmeona inafaa kupigania Mabadiliko? Tena mnaowatuhumu kwa Ukabila ni #Wasukuma!!? Are you guys for real? Yani Wasukuma hawa hawa tunawajua wa kanda ya Ziwa??! Kama mambo mmeamua kuyapeleka huko basi hali itaenda kuwa mbaya zaidi ya ilivyo!#Mimi sio Mtanzania kwa sababu nimezaliwa wa Tanzania, Mimi ni Mtanzania kwa sababu Tanzania imezaliwa ndani yangu!!!#LifeIsStrange
 
mwanza mpo juu sana...sio huku dar mandezi wameshikwa akili na watu wa kaskazini...yani na akili zangu timamu kabisa nilipigie kura jizi badala ya john pombe...big NO

Umejidhihirishia mwenyew huna uwezo wa kujenga hoja, hapa tunaongelea wasukuma wenye mawazo mgando ambao bado wamedominate Mwanza kwa ujumla wake, kwa pointless yako unasema kuwa Dar es salaam wameshikwa akili na watu wa kaskazini. naomba unambie ni kabila gan hilo?! Kama hukusoma nakushaur rud shule, maana msukuma akiishia la nne atasema et nae alisoma.
 
kama mlikua hamjui wasukuma wengi wao ni wanafiki sana.... nina expirience na hawa watu... acheni mwenzao ashinde.. wakianza kulia nitakua nashangilia.

Toa ushuxx wako hapa.
Wa Arusha walinipigia Lowassa Mabadiliko wa kanda ya ziwa walinipigia Magufuli wajinga,wapumbavu,maskini nk.

Achen ufaxxxx na mjue mtalisugua benchi miaka 50 bila kupata hata Upm.

Kila kitu mmejenga Kilimanjaro na Arusha. Mmejigawia hadi mabenki ukienda teller ni chaga tu
 
Wasukuma bhana wajinga ... Mwanza chenga tupu yaani mi nilijua nfio ngome ya UKAWA kumbe mafisi
Nyie tukaneni tu but beware. The giant is awakening and it has 15% of the population. Nyie na ukanda na Uchagga wenu kujiona eti ni bora kuliko makabila mengine ndo mtaona kama mtawahi kutawala nchi hii. Unless mfuate ushauri wa Nassari mjitenge muanzishe Ndizi Republic. Mnatuletea ligombea halieleweki linatetemeka eti mapenzi mahaba halafu lichama lenyewe mmejaza watu wa huko huko mnafikiri watu wajinga? Theatre Arts pelekeni huko huko lakini beware. The giant is awakening. You have been warned!
 
Tena uache mada ya ukabila, uishie hapo hapo, ni mkoa gani ulioonyesha ukabila uliokomaa kama siyo Arusha na Kilimanjaro? angalia kura za madiwani, ubunge na Rais, kuna baadhi ya vituo magufuri alikuwa anapata sifuri kwa 200 au zaidi. yaani kituo kizmima wote wanamchagua lowasa. CHADEMA kina mtazamo wa kikaskazini ndiyo maana wananchi wameshindwa kukiamini japo wanataka kweli mabadiliko. Wananchi walista kufanya uamzi tar 25. waligeuza gea hewani. mwenyeki mbowe kakszini, mbatia kaskaz, Lowassa-Kaskaz, Sumaye-Kask, John Mallya-Kask, Mrema-Kask, na wengine lukuki, watanzania walishtuka.

Umempa za uso
 
Toa ushuxx wako hapa.
Wa Arusha walinipigia Lowassa Mabadiliko wa kanda ya ziwa walinipigia Magufuli wajinga,wapumbavu,maskini nk.

Achen ufaxxxx na mjue mtalisugua benchi miaka 50 bila kupata hata Upm.

Kila kitu mmejenga Kilimanjaro na Arusha. Mmejigawia hadi mabenki ukienda teller ni chaga tu

hayo mabenki kwan mwanza hayapo, kuna taasisi ngap za serikali na binafsi hapo mwanza, kaangalie walioajiriwa wengi wao ni wazawa wa mwanza au ni kutoka mikoa tofaut tofaut, la hasha huwez mkuta msukuma amekalia kiti ofisin anakula AC, kaa chin tumia hata mwez mzima kufikiria sana labda utapata sababu ni nin, maana inaonekana umekosa hata upeo mdogo tu wa secunde moja kujua tatizo. Kama mwezi nao ni shida bas nenda hata dsm kweny makabila mengi ukazunguke kwenye maofisi kama utakuta msukuma mweny ajira ya kujiajiri au kuajiriwa inayoeleweka! Ndo utaelewa!
 
Back
Top Bottom