Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

CCM sio ya wasukuma wala Chadema si ya wachaga.
Makufuli kuwa CCM haimaanishi chama ni chenu ama Mbowe kuwa mchaga haimaanishi chama ni cha wachaga.
Kama mnapenda ukabila hukohuko msilete mambo hayo kabisaa.
 
We chiz kweli..kuna mkoa watu wameenda shule kama uchagani? Kuna mkoa una la.i hadi kibarzani kama k'njaro?....wasukuma mnapiga kura kwa mihemko ya ukabila tuu..ila ukilinganisha standard za maisha ya mtu mmoja mmoja na uchagani,nyie bado sanaa...kwanza wachaga elimu ipo kichwani pili ma fighter tatu tunajielewaa,Sio kama washamba wakiskuma....
We kaa apo jilinganishe na mchaga kama hujapotea..
Yaan sisi tunajeuri,tunawakata mabweg ccm na hawana cha kutufanya...Jarib wewe uone kama Pamba haijaozea darini...

mbonaaa hujamalizia mnagongewa wakezenu na wakenya....afu weee kweli ni zuzu la kichagga mi naongelea maendeleoo afuu wee unanleteaa dataa zakoo za elimu apaa wakati unalala njaa unashindia mbege na mataputapu....wee maku kweli
 
Nipo mitaa ya Nyegezi sasa hivi watu wanashangilia Wenje ameshatangazwa mshindi .
 
Wenje amekataa kusaini matokeo, anasema kuna faulo kibao za kujumlisha matokeo, na anadai ccm walikwisha kuwa na excel yao....

Tayari hapa kuna shida
 
Nipo mitaa ya Nyegezi sasa hivi watu wanashangilia Wenje ameshatangazwa mshindi .

Ushindi ni kwa Mabula anatangazwa sasa hivi na Mkurugenzi wa Uchaguzi jimbo la Nyamagana kura 81,700 na wenje 79,000 na ushee hivi....
 
Duuu kwa kweli hata siamini nini kimetokea kwa wenje,

hinecy sawa huenda hakuwa makini sana jimboni hasa baada ya yale matatizo ya afya ya kupigwa mapanga 2011 pamoja na machemli... Lakini wenje hata sielewi wapi hakujipanga sawa jimboni

, lakini pia naona hapohapo pia alikuwepo mama/mdada wa cuf naye alikuwa anagombe, uzembe ule ule wa segerea kwa mtatiro umejitokeza na hapa nyamagana/,,,,,,,,



ushindi ni kwa mabula anatangazwa sasa hivi na mkurugenzi wa uchaguzi jimbo la nyamagana kura 81,700 na wenje 79,000 na ushee hivi....
 
Back
Top Bottom