Mwanza maeneo ya makao makuu ya polisi na ccm kunani

manning

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
5,051
11,756
KWA MUDA SASA kuna sauti za mabomu au risasi maeneo ya polisi central karibu na ccm. Walioko jirani tujuzeni kuna nini. kwa maana asubuhi kulikuwa na misululu mirefu ya waislam wakielekea maeneo hayo.
 
kama vijana wa bavicha hawata zuiliwa sana nchi inaingia machafuko kwa umwagaji wa damu
 
kama vijana wa bavicha hawata zuiliwa sana nchi inaingia machafuko kwa umwagaji wa damu

Jambo jema ni kuwa watu humu JF wameshakuona mpu.uzi na mshamba unayetumia muda wako mwingi katika mambo ya kijinga. Hizi ni dalili kuwa huna shughuli ya kufanya,hujastarabika,huna uelewa wala Elimu walao ya kukutosha wewe tuu na sababu nyingi nyinginezo ambazo hazifai kuzitaja hapa maana tutakuwa tunakuweka uchi na kukufedhehesha.
Hili ni jukwaa la hiari, jaribu kujitahidi kutoharibu thread za watu ambao wametumia muda wao adimu kutuletea habari humu.
 
Tetesi ni kuwa Sheikh Ilunga amekamatwa. Ni yule aliyekuwa na kesi ya uchechezi.

Inaweza kuwa kweli mkuu, kwani asubui imebidi tusimame zaidi ya dakika tano kuwapaisha wakatishe kuelekea jingo la CCM mkoa watu waliovaa kama waislamu wa rika na jinsia zote.
 
kama vijana wa bavicha hawata zuiliwa sana nchi inaingia machafuko kwa umwagaji wa damu
Hakika unakaribia kuwa kichaaa..

Mkuu huenda kuna mtu amekeloga au umeaschiwa laana za wazazi wako...Nenda kijijini kwenu ukaombe radhi au utambike....Soon utakuwa kichaaa...

Nakuonea huruma..
 
Huyu m23 bila shaka atakuwa na matatizo ya ubongo kama c laana ya wazazi au ya Mungu,au vyote pamoja,kwa muda mrefu nimekuwa namfuatilia jinsi anavyotumia muda mwingi kuvuruga thread,hajui kuwa jf is for great thinkers only,wengi walio ccm huwa wana matatizo ya akili,mtu analeta ishu ya maana,yeye anasema habari ya bavicha,vitu viwili tofauti,this person must be crazy,mi keshanichosha,ningekuwa najua alipo ningemtia adabu,mjinga sana huyu.
 
Back
Top Bottom