Mwanza limetoka jembe limeingia sululu hakuna kisiki kitabakia, Hongereni sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,595
141,400
Mwanza na Mbeya ni mikoa inayotegemeana na kutendeana haki, hongereni sana.

Ujio wa komredi Albert Chalamila unakwenda kuinua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza, jambo la muhimu ni kumpa ushirikiano wa kutosha na kuchapa kazi.

Mwanza limetoka jembe limeingia sululu, Yote heri.

Mungu awabariki!
 
Ila tu asijisahau kuendeleza zile tabia za kibabe,zisizojali wala kuzingatia sheria,ikiwa ataweza hilo mambo yataenda vizuri,uzuri no kuwa wengine sii wale wa kukwamia awamu waitakayo.
 
Vibaka wa mwanza sasa wamepata wa kuwabaka maana jamaa anapenda sana kuua & kupoteza kama marehemu mwendakuzimu
 
Labda mke wa Mongella atapunguza ubabe na uonevu kwa watumishi wa umma na hasa trafic, ila Simiyu na Mwanza sio mbali ngoja tuone!
 
Ntwara imekula kwao sababu huyu jamaa hamna kitu ss wa Bukoba tumefurahi Sana kuondoka kwake.hana mwamuzi na anapenda Sana majungu huwezi jua Kama ni mjeshi
Kabisa Hana maamuzi wahaya walimpelekesha mno.we utakuaje mkuu wa mkoa na stendi inabaki hiv tu
FB_IMG_16206789940745754.jpg
 
Mwanza na Mbeya ni mikoa inayotegemeana na kutendeana haki, hongereni sana.

Ujio wa komredi Albert Chalamila unakwenda kuinua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza, jambo la muhimu ni kumpa ushirikiano wa kutosha na kuchapa kazi.

Mwanza limetoka jembe limeingia sululu, Yote heri.

Mungu awabariki!
Acha upuuzi unashabikia mambo usiyoyajua. John Mongella ni jembe?
 
Kabisa Hana maamuzi wahaya walimpelekesha mno.we utakuaje mkuu wa mkoa na stendi inabaki hiv tuView attachment 1786762
Bukoba hamna stendi ni dimbwi la maji.barabara ya gaguthi ni uchafu haina hata viwango inatitia kila sehemu na ni viraka kuanzia rock pub mpaka kibeta na jamaa alikuwa anaangalia tu Kama alivyo Ras wake naye ni mzigo Pamoja na uprofesa wake hamna kitu wananchi wanasubiria huruma ya mama.kawashusha madaraka wahudumu na maps na kushusha mishahara yao bila kigezo
 
Back
Top Bottom