Mwanza limetoka jembe limeingia sululu hakuna kisiki kitabakia, Hongereni sana!

Aongeze route ya daladala kipita bugando kutokea buhongwa pia mabatini na ilemela
 
Dan! Sasa Mama Mongella ana utemi gani kwa watumishi? Au humjui?
Namjua sana tu, natamni niweke visa viwili ika kwasababu mtendewa ni mimi nitafahamika kirahisi tu....mkuu acha yapite maana hakuna aliye mkamilifu hapa duniani
 
Namjua sana tu, natamni niweke visa viwili ika kwasababu mtendewa ni mimi nitafahamika kirahisi tu....mkuu acha yapite maana hakuna aliye mkamilifu hapa duniani
Hata mimi namjua sana ndio maana nakushangaa "eti" ananyanyasa watumishi. Kwanza ni watumishi wachache wa Jiji la Mwanza wanaomjua kuwa ni Mama Mongella kwasababu hana 'show off'.
 
BUKOBA YENYEWE INA MAJUNGU NA FITNA!,Kila mtu mjuaji,ndio maana maendeleo hayaonekani.
Bado kuna tatizo la kiongozi mkali na mwenye maamuzi bukoba. Ila ukiwa mswahili wahaya wanakupanda kichwani.

Huyu RC sijui aliwaogopa wahaya? Alishindwa kutoa maamuzi kabisa
 
Mwanza inajengwa na wana Mwanza wenyewe na siyo hawa wanasiasa wanaokuwepo kwa muda mfupi na kisha kuondoka.
 
Back
Top Bottom