kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
CCM msamiati wa kuuza sijui nani kawadanganya miaka 50+ mmeuza vingapi?Yaani Ikulu aingie MTU mwenye mitambo ya mabeberu? Huyo hafai on the sport.
Ni sawa na kuuza Ikulu mchana kweupe
Twiga wamepanda ndege sasa ikulu iuzwe ina nini?