Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

Yaani Ikulu aingie MTU mwenye mitambo ya mabeberu? Huyo hafai on the sport.
Ni sawa na kuuza Ikulu mchana kweupe
CCM msamiati wa kuuza sijui nani kawadanganya miaka 50+ mmeuza vingapi?

Twiga wamepanda ndege sasa ikulu iuzwe ina nini?
 
Back
Top Bottom