Mwanza kwa mnaofanya kibarua cha kuandikisha vitambulisho vya taifa NIDA

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
kwa wadau wa mwanza mlioajiriwa kuandikisha vitambulisho vya taifa naomba kuuliza malipo kwa siku yako vipi ni kiasi gani. nimepata hicho kibarua ndo nauliza kama kinalipa poa.
 
Back
Top Bottom