Ni kweli una kiwango cha elimu cha kipuuzi kabisa mpaka ushindwe kujua kwanini mvua huwa inanyesha
Bado tu unaendeleza upuuzi wa kutokujibu uliloulizwa?!!!🤣🤣

Mpumbavu mpe uwanja atambe......haya tamba mzeya.....
 
Pale Mafinga kwenye Kongamano la Misitu, eti kwa kusifia kabisa wazee wa kimila (Machifu) waliokuwepo waziri wa maliasili anaongea mbele ya waziri Mkuu "kwa heshima ya wazee hawa ndiyo maana hali ya hewa ni nzuri hakuna mvua"

Yaani mpaka hapo unaweza kupata picha ya kinachoendelea nchi hii.
 
Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea.

Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa kanda ya ziwa.

Landson Tz
Labda kiwingu pombe
 
Back
Top Bottom