Mwanza kisiwa cha siasa safi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari watanzania.

Napenda kuwakaribisha wananchi wote mlio nje na mkoa wa Mwanza ambao mtapenda aidha kuwekeza, kutembelea au kufanya maisha hapa mkoani Mwanza nawakaribisha sana.

Njoo Mwanza njoo wilaya ya Nyamagana hata ukiwa mgeni au mwenyeji tutakuhudumia kwa kukupa ukarimu, kukuonyesha fursa na maeneo ambayo pengine ungependa ufanye biashara au kuweka taasisi yako.

Nyamagana ni wilaya nzuri, imechangamka, kuna watu wengi, fursa za kibiashara za kumwaga, haijalishi hali yako napenda kukukaribisha sana Mwanza mjini Nyamagana mji wa kibiashara na kufanya maisha.

Usiogope kuhusu hali ya kisiasa hapa Mwanza ni salama kabisa uchumi wako utaheshimiwa kwa gharama yoyote kikubwa karibu sana Nyamagana Mwanza.

By

Mtoto wa mjini

Nyamagana stand up.
 
A man said to a Dervish: “Why do I not see you more often?” The Dervish
replied, “Because the words ‘Why have you not been to see me?’ are
sweeter to my ear than the words ‘Why have you come again?”’
Mulla jami, quoted in ldries Shah’s Caravan of Dreams, 1968
 
Pamepooza saaana, tunamtaka WENJE arudi kwenye nafasi aliyomwachia MABULA.
 
Back
Top Bottom