Mwanza: Jeshi la polisi limeua Majambazi wanane usiku wa kuamkia leo 26.1.2019

Ili kubandika hayo makaratasi kwenye miili ya majambazi ilikuwa ni lazima kuondolewa nguo kwenye vifua vyao?
 
Kuna ushahidi mzuri ambao wangekuwa wanapongezana walivyowapapua wavuja jasho huku wakiwa na vinywaj vya pale Iloganzala au kule Igoma, tena wakiwa Vilapack,Diamond au hata Malaika wangeenda! "Kwangu mie ni bora umuue asiyestahili kuliko kumwacha jambazi abaki na roho yake" haki za binadam n co povu ruksa!
Hizo sehemu ulizotaja ndiyo the best kwa starehe huko Mwanza?
 
Kuna ushahidi mzuri ambao wangekuwa wanapongezana walivyowapapua wavuja jasho huku wakiwa na vinywaj vya pale Iloganzala au kule Igoma, tena wakiwa Vilapack,Diamond au hata Malaika wangeenda! "Kwangu mie ni bora umuue asiyestahili kuliko kumwacha jambazi abaki na roho yake" haki za binadam n co povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja na naombea tena Mungu atanisikia sala hii, ndugu yako achapwe risasi hata kama siyo yeye kuliko jambazi kuliacha
 
Siku mama yako akimwagwa utumbo kwa kuhofiwa ni jambazi utajua kwanini kuna umuhimu wa kuthibitisha ikiwa mshukiwa ni jambazi kweli au Lah.
Kama walikuwa raia wema tungesikia malalamiko toka kwa ndugu zao na wananchi lakini ukiona hadi sasa kimya ujue ni ukweli.
 
Back
Top Bottom