Mwanza hali si shwari, risasi za moto na mabom ya machozi yapigwa

Hivi sasa ktk ya jiji la Mwanza kuna tahaluki kubwa, watu,magari yanakimbia ovyo,shughuli karibu zote zimefungwa. Kama mtakumbuka wana JF hapa Mwanza kumekuwa na mvutano wa kiiman kati ya waislam na wakristo uliopelekea kuchomwa moto kwa kitabu kitakatifu (kuruan) na kuchomwa moto kwa kanisa.

Leo ndo ilikuwa siku ambayo kesi ilikuwa inasikilizwa mahakaman na ndo vurugi hii ilipoanzia, hadi napost habari hii sijapata kujua ni nini chanzo hasa cha vurugu hizi kutokea hapo mahakaman na kusambaa hadi ktk ya jiji.
Chukulia mahakama ya kadhi imeanza na hii kesi imepelekwa huko...
 
We nawe kilaza; Hivi kupora si kesi ya jinai?. Kama ni hivyo huyo jamaa angekuwa na kesi mbili za kujibu; ya kuiba na ya kuchoma quran.

Sheria ya fatwa ipo Uarabuni huko hapa wakimwuua wataozea jela hebu wajaribu waone. Na jeshi la Polisi linatakiwa liwajue hawa wanaotaka kumchinja na watamke mbele ya jeshi la polisi waone cha mtema kuni. Hapa sio Saudia wala Somalia wala Iran acheni upuuzi nyie
kama unaona hapa sio somalia basi endeleeni kuwachokoza waislam itakua kuliko hata somalia kitawaka na hakitazimika,nchi hii kila mtu anahaki yakuabudu dini apendayo,je inakuaje huyo mchungaji feki akachome kitabu kitakatifu cha kurani?hata akijificha wapi atauwawa tu.
 
nimeongea na mtu aliyekaribu na tukio, ni kwamba yule mchungaji ameshinda kesi iliyofunguliwa zidi yake na WAISLAM MWANZA ya kuchoma Qur'ani Tukufu, kulikuwa na ubishi kati yake na hao waislam kwamba ukichoma QURAN haiungui, na hauchukui siku 2 utakufa, naye akaichukua na kuichoma na hakufa

Na wao kuona hivyo wakachoma KANISA moja hapo MWANZA waliokamatwa wakafunguliwa mashitaka na kufungwa , lakini leo ndiyo ilikuwa hukumu ya mchungaji, na mchungaji ameshinda kesi kwasababu hana hatia ya kujibu kwamba ulikuwa ubishani wa kawaida tu, na yeye mchungaji QURQNI aliinunua mwenyewe.

Kwa hiyo hakuna kesi ameachiwa huru, then ndo wanaleta fujo hapo wanataka kumua na POLICE ndo wanafyatua MABOMU kutawanya watu, nasikia wapo kama 400, hivi

Mhh hiyo kali kweli, au walikuwa wanaigiza!! duhh aisee kweli umeniacha hoi sana mkuu kwa hizi taarifa zako!!!
 
Sasa wanagombana nini wakati wenyewe walikubali kama sehemu ya ubishani? walitaka washinde kesi wakati wenyewe walikubali?

Tukiacha mambo ya imani pembeni, akili ina umuhimu wake

mi nashindwa kuwaelewa hawa ndugu zetu waki-islamu: kila kitu wanataka waonekane wanajua na ndo wenye haki tu, wakiendelea hivi na vitu visivyo na maana na wala faida ktk jamii itapelekea tuwatilie mashaka ata na wasio na hatia wakati mwingine.
 
kama unaona hapa sio somalia basi endeleeni kuwachokoza waislam itakua kuliko hata somalia kitawaka na hakitazimika,nchi hii kila mtu anahaki yakuabudu dini apendayo,je inakuaje huyo mchungaji feki akachome kitabu kitakatifu cha kurani?hata akijificha wapi atauwawa tu.

hacha maramoja ukichaa.!
 
Udini ni mbaya sana. unaweza kukuta hao wanaopigana wengi ni wazinifu tu na watenda maovu mengine lakini wanataka vita!
Hicho ndo Jk alichotaka na amefanikiwa.Amevunja uelewano wa dini2 ili ccm iwe salama.
 
Duh! yamefikia huko tena! Ya Ingunga kumbe ni madogo! Lakini ndo viongozi wetu wanayataka, sijuwi moto wake watauzimaje! Eee Mora tuepushe na balaa hili.
 
nimeongea na mtu aliyekaribu na tukio, ni kwamba yule mchungaji ameshinda kesi iliyofunguliwa zidi yake na WAISLAM MWANZA ya kuchoma Qur'ani Tukufu, kulikuwa na ubishi kati yake na hao waislam kwamba ukichoma QURAN haiungui, na hauchukui siku 2 utakufa, naye akaichukua na kuichoma na hakufa

Na wao kuona hivyo wakachoma KANISA moja hapo MWANZA waliokamatwa wakafunguliwa mashitaka na kufungwa , lakini leo ndiyo ilikuwa hukumu ya mchungaji, na mchungaji ameshinda kesi kwasababu hana hatia ya kujibu kwamba ulikuwa ubishani wa kawaida tu, na yeye mchungaji QURQNI aliinunua mwenyewe.

Kwa hiyo hakuna kesi ameachiwa huru, then ndo wanaleta fujo hapo wanataka kumua na POLICE ndo wanafyatua MABOMU kutawanya watu, nasikia wapo kama 400, hivi

kawa ujui chanzo cha izo fujo kaakimya unapotosha jamii.
 
Hali imerejea kama kawaida,wapo walioingia nondoni,wapo waliojeruhiwa kidogo,kwa ujumla hali ni shwari.Kesi hadi tar.24.11.2011
 
Ukifuatili mtililiko wa matukio na mjadala mzima halafu utoe maoni unaweza ukajikuta Muumba naye anakupiga ban kwa kukufuru.
Kwa sababu kwa baadhi ya hoja humu najihisi (japo kwa kusits sita) kumlaumu Mungu kwa kuwapa akili na utashi watu fulani.
Walitakiwa wapewe uti wa mgongo tu. Hawumudu kabisa uwezo wa ku-reason waliopewa, kwa mtazamo wa mahitaji ya kibinaadam, this is a kind of wastage of resources, nasikitika kuona kundi hili tupo wengi na tunaongezeka kila uchao.
What gonna be next, is every body's guess

We will end up burning in hell!!
 
Chanzo ni kwamba uyo mchungaji pamoja na baadhi ya watumishi wa mungu walikua wanamwombea mama moja uko wilayani ilemela uyo mama alikua na mapepo afu alikua muumini wa dini ya kiislam,sasa baada ya maombezi mapepo na majini yakatoka basi akaambiwa asalimishe kila aina ya vitu alivyokuanavyo ndani ambavyo vinaonekana kama ni visababishi basi yule mama akatoa baadhi ya dawa za kienyeji na makaratasi yenye maneno ya maandishi ya kiarabu jamaa wakaanza kuchoma,kidogo akatokea kijana mdogo apo nyumbani akakuta vitu vinachomwa pamoja na yale makaratasi yenye maandishi ya kiarabu basi akatoka mbio kuelekea mtaani punde watu wakajaa pale waumini wa kiislam wakidai kwamba kwanini wamechoma quruan na apo ndipo fujo zikaanza na kuelekea kwenye makanisa na petrol na atimaye wakafanikiwa kuchoma kanisa moja km malipizi na kuatarisha maisha ya uyo mchungaji na wenzake,lkn polisi wakawachukua mpaka kituoni kwa usalama wao,apo ndipo mashtaka yakaandaliwa na kesi kuanza ktk kipindi chote icho mwezi takriban moja makanisa yakawa yanawindwa kuchomwa moto ivyo kupelekea polisi kutoa ulinzi kuzungukia makanisa apa mwanza mjini,mpaka sasa amani imetawala amna tena fujo watu kadhaa wameshikwa leo apa mahakamani na kuwekwa ndani kwa kufanya fujo kupinga ukumu. Asante nawakilisha.
 
Kesi kama hizi ni nzuri sana katika kuwaonesha wale wote walioishiwa sera na kukumbatia udini kama karata ya kupatia madaraka, kuwa mchezo huo ni sawa na kujaribu kuiba battery ya lorry lililojaa mafuta ya petrol baada ya kupinduka. Ni risk kubwa sana wayocheza nayo ambayo return yake ni negligible
 
wazee wa udini leo mwanza

Waandamanaji%2Bwakizozana%2Bna%2Baskari.jpg
 
Kesi kama hizi ni nzuri sana katika kuwaonesha wale wote walioishiwa sera na kukumbatia udini kama karata ya kupatia madaraka, kuwa mchezo huo ni sawa na kujaribu kuiba battery ya lorry lililojaa mafuta ya petrol baada ya kupinduka. Ni risk kubwa sana wayocheza nayo ambayo return yake ni negligible

Source ya ujinga huu ni wa mchungaji kwa chuki zake anachomaje Qur'an?

Mchungaji anatakiwa afunzwe adabu na ustaarbu wa kuishi na kuheshimu dini zingine period
 
Kesi kama hizi ni nzuri sana katika kuwaonesha wale wote walioishiwa sera na kukumbatia udini kama karata ya kupatia madaraka, kuwa mchezo huo ni sawa na kujaribu kuiba battery ya lorry lililojaa mafuta ya petrol baada ya kupinduka. Ni risk kubwa sana wayocheza nayo ambayo return yake ni negligible

haya bana
 
Back
Top Bottom