Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

Mtu kuandika hamu ya mwili wake nayo ni maneno machafu.. eeeeh au kuna mengine hamkutuhabarisha humu!!

Deo tunasubiri utoke uje utupe habari za huko wanapokupitisha.
Leo umebadilika kutetea demokrasia ya kujieleza ??
Ajabu sana..
we si ndo kila siku unaletaga USHABIKI MAANDAZI kisa ushibishe tumbo lako..
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.

Pole Kisandu Kwa matatizo ya afya ya akili,Polisi Mpelekeni Mirembe akapate tiba.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.

Jamaa hafaninii ile mitusi ya mama, he looks very decent, au mtoto alikuwa anachezea simu yake
 
cbd7281de4fc92db30553aef1cf3ef17.jpg
 
Eeeeeh eti tumbo!!!
Wewe unashibisha nini kwa kuandika humu?
ndiomana hatuendelei
Weng wana akil kama zako zinazoishia kushibisha matumbo yao badala ya kusimamia hoja za msingi..

Your Hopeless in this World, if your stomack is everythng for you
Poor u ?!! =
 
ndiomana hatuendelei
Weng wana akil kama zako zinazoishia kushibisha matumbo yao badala ya kusimamia hoja za msingi..

Your Hopeless in this World, if your stomack is everythng for you
Poor u ?!! =

Ha ha haaaaa
Hizo hasira zako unanitolea mie ka vile nimefanya maisha yako yawe yalivyo.. oyooooo huoni aibu eeeeh

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa.. kula na mawe plus mchanga kabisa...
 
Back
Top Bottom