Elections 2010 Mwanza City on Fire!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,756
71,129
Hivi sasa jiji la Mwanza maeneo ya Isamilo zilipo ofisi za Msimamizi wa uchaguzi ni milio ya mabomu na kelele za watu. CCM kwa nini wananganganiza ushidi kiasi cha kuhatarisha maisha ya watu? JK na wenzake wajiandae kama kutatokea vifo basi ni The Hague tu.
 
Wakati masimamizi wakiendelea kukalia matokeo ya Nyamagana habari zinaeleza kuwa nyumba ya msimamizi Kabwe sasa imezingirwa na vijana wakiwa na nia ya kuitia moto iwapo watatangaza Masha ameshinda.
 
Wakati masimamizi wakiendelea kukalia matokeo ya Nyamagana habari zinaeleza kuwa nyumba ya msimamizi Kabwe sasa imezingirwa na vijana wakiwa na nia ya kuitia moto iwapo watatangaza Masha ameshinda.

Hapo inatakiwa matokeo yasitangazwe kwanza manake rafiki yangu CCM kanipigia nao wanajiandaa asipotangawza Masha waanzishe libeneke
 
huyo masha ni mshkaji wake jk..si unajuwa ndio walimlipia karo ya masters ya riziwani university hapo uingereza...kwa hiyo baba mtu anataka kumlipia fadhila...KWANINI ASIMPE HATA U-HAUZI BOY HAPO IKULU awe anamsaidia kuchakachua
 
Hapo inatakiwa matokeo yasitangazwe kwanza manake rafiki yangu CCM kanipigia nao wanajiandaa asipotangawza Masha waanzishe libeneke

duh!! Mungu saidia, jamani wana ccm eleweni kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani, mbona hivyo??????? siku hazifanani bana.
Chadema oyeee.....!!!!!!:smile:
 
Hivi sasa jiji la Mwanza maeneo ya Isamilo zilipo ofisi za Msimamizi wa uchaguzi ni milio ya mabomu na kelele za watu. CCM kwa nini wananganganiza ushidi kiasi cha kuhatarisha maisha ya watu? JK na wenzake wajiandae kama kutatokea vifo basi ni The Hague tu.

Kweli itawezekana au maneno tu
 
JK ajiandae kwenda kuungana na Charles Taylor kule the Hague. Hawezi kukwepa lile gereza la wahalifu wa kimataifa.
 
huyo masha ni mshkaji wake jk..si unajuwa ndio walimlipia karo ya masters ya riziwani university hapo uingereza...kwa hiyo baba mtu anataka kumlipia fadhila...kwanini asimpe hata u-hauzi boy hapo ikulu awe anamsaidia kuchakachua

ha ha ha ha anataka kulipa fadhila kwa staili ya aina yake
 
Ki msingi ni kuwa Masha amekubali kusaini matokeo lakini amemtuma katibu wa CCM Nyamagana kwa vile anasema akifika hapo yeye anaweza kuumizwa na wananchi ila tatizo wapambe wake walikuwa bado wamegoma. Sasa nasikia wameanza kulegea.
 
Jamani hamjajua kikwete kaona kashindwa anatafuta sababu ya kutangaza hali ya hatari alishasema toka mwanzo kuwa ushindi lazima.kwa sasa chadema waendelee kukusanya vilelezo vya kumshitaki the hague huyu mkwere na masha

chadema kusanyeni vielelezo vya kutosha tumshitaki
 
Na kama ni kweli yuko huko Mwanza kushinikiza ushindi wa Masha ana haki ya kushitakiwa the Hague kwa damu za watu zitakazomwagika
 
JK bado naendelea kukusihi, mbona hutendi unayohubiri mkuu!!!:doh:
 
Back
Top Bottom