Mwanza: Chalamila akabidhi ofisi kwa RC mteule

FB_IMG_16234529199049121.jpg
 
Huu ndo uanaume, kilio cha samaki machozi yanaenda na maji! Mwanaume analia ndani nje smile! Hili la kukabidhi faster ni la mfano, baadhi ya wazee wetu na hata vijana wenzetu mnatuaibisha hua mnakua na longolongo mnapotakiwa kukabidhi! Safi
Lazima akabidhi fasta Rais anaenda Mwanza tarehe 13.
 
Back
Top Bottom