Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

CCM itaendelea kuongoza nchii hii. Sababu kubwa ni kwamba hatuna chama mbadala.
Wakome kuishangilia CCM na serikali yake sasa ndo wameiona. Walidanganywa na mpenda sofa Sasa wanakabiliana na hali halisi. Acha waisome nambaeeeeeeee......

CCM mbele kwa mbele.
 
Makoroboi si kama kariakoo. Wangewaacha tu hao wa makoroboi. Hakuna barabara za waenda kwa miguu hapo.
Japo huwa sikubaliani na wew kwenye ishu za Jiwe lakini hili umesema ukweli, yawezekana wameona wasiwe na ndimi mbili labda.
 
Hawa machinga wana taarifa muda mrefu mbona, RC katoa muda na alikaa nao muda tu. Tatizo machinga wajeuri sana, hadi wabomolewe ndio waondoke, tumeona Dar, hadi wabomolewe ndio waondoke, Dar pia walikuwa na taarifa wiki 3 kabla, ila wengi wao hawajaondoka hadi askari walipoanza kubomoa usiku.
 
wanafukuzwa machinga wa chadema tuu, wa ccm hii nchi n yakwenu pekee enu mtaachwa mfanye biashara!! Si munaoma hata tozo ninyi hamkatwi??
 
Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Upinzani haupo kwaajili ya kuvunja sheria kenge wewe
 
Kulia lia, kulalamika hakujawahi kuleta mkate mezani.

Kutokujua Sheria sio msamaha wa kutokupewa adhabu.

Kila Jambo Lina pande mbili nzuri na mbaya hvyo hayo lazima yatokee.
 
Namimi nasema wapinzani waendelee na mambo yao waachache na hii operation ya wamachinga,hawa ndio walikuwa viherehere kutoa matamko sijui wamachinga nchi nzima tunamuunga mkono yule Bwana aliyetangulizwa kuzimu,acha wale matunda ya uchaguzi wao
Watu hawajui tu, kwa level ya maisha hawa wapinzani wametuzidi sisi wachimba chumvi kwa kiasi kikubwa sana. (maana wanaposema wapinzani hawatutetei ni wazi wanarefer viongozi wa upinzani na sio watu wa kawaida ambao ni wanachama. Level ya shida za viongozi wapinzani ni tofauti na hao machinga, kwa kiasi kikubwa wao ugali sio tatizo tena, matibabu si tatizo, nyumba na magari vilevile hata kukopesheka wanakopesheka.

Leo hii anakuja mchimba chumvi mmoja na bango lake eti wapinzani wamenyooshwa, WTF! Utanyooka wewe unayetegemea kibanda kilichopo barabarani kuishi ambacho nacho kimebomolewa. CCM iendelee hivi hivi ili sote tuongee lugha moja maana nchi wajinga wengi sana.
 
Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Mmesahau tayari kuwa 99.9% mpo Chama tawala.Huo ni uganga sasa wa kienyeji kuwataka wapinzani.

Watokee mje mseme kuwa wanataka kulipia Mwanza
 
WOTE TUKO NCHI HII
KUSEMA HAMKUPEWA TAARIFA NI UONGO MBELE YA MUNGU;
KUSEMA HAMKUPEWA SEHEMU YA KWENDA NI UONGO MBELE YA MUNGU
Mwandishi wa hii habari ni mchochezi na hana maana yoyote- si mkweli
Walipewa maeneo kule mlango mmoja
 
Back
Top Bottom