Mwanza: Bomoabomoa ilivyoacha nyumba za CCM na kubomoa Gorofa la Madaraka/ Misheni

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Ninaimani wakazi wa Mwanza wanajiuliza hili swali kila anayepita makongoro Road na kuona lile gorofa la Madaraka au Misheni lilivyobomolewa huku zile nyumba za CCM kuachwa ndani ya hifadhi ya barabara mpaka leo.

Ni ukweli usiopingika kuwa hizi nyumba za CCM zimekingiwa kifua. lakini ingawa zimeachwa, ni hatari sana kwa wakazi wa nyimba zile.

9e03446b5ce8c04db8b7330b0f9883e6.jpg
 
Sasa jameni tukubaliane kuna lawama kote kwamba Serikali ijifunze hii bomoa bomoa ikome kwa kupima miji na kuweka Town planning nzuri...na pia watu wakome ujenzi holela
 
Watu wakiamua kuzusha jambo,!!!Mhhh
Hizo nyumba yaani zipo mbali kabxaaa na road reserve huyu mleta mada anatafuta kiki kwa kupitia kuchafua jiji la mwanza
Mkuu kwa hilo tumekushtukia njoo na gea ingine
 
Watu wakiamua kuzusha jambo,!!!Mhhh
Hizo nyumba yaani zipo mbali kabxaaa na road reserve huyu mleta mada anatafuta kiki kwa kupitia kuchafua jiji la mwanza
Mkuu kwa hilo tumekushtukia njoo na gea ingine
Wewe unaweza kubishana na Radio. Unachobisha hata ni tofaut na mada umekurupuka tu
 
Back
Top Bottom