Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,594
- 2,717
Naungana mkono na wewe, bahati mbaya polisi wetu huwa hawatumii common sense, hapo watamng'ang'ania huyo Mzee mpaka wamfunge maisha au wamnyonge, ila ukweli ni kwamba ni kweli hakuna mzazi ambaye aweza kudhamiria kumuua mwanae wa kuzaa, lakini pia polisi hawahawa huwaoni hawajisumbui lolote pale ambapo wafuasi wa ccm wanapoua mtu tena kwa kwa makusudi na hadharani, kisa anaeuawa anapokuwa ni mkosoaji wa serikali ya ccm basi polisi hujitoa ufahamu na kukaa kimya, (double standard hii).Kama unazaa utaelewa wanao wakishakuwa wakubwa,kuna hii situation unajikuta unasomesha shule mtoto kwa gharama kubwa ukiamini unamuandalia maisha yake ya baadae ila unakuta hakuna anachokielewa zaidi Bodaboda mtaani wanamgombania na ukimkanya hakanyiki.
Sidhani kama mzazi nia yake ilikuwa amuuwe mwanae hapo ilikuwa ni zile adhabu za kawaida za kila siku ila ndo ilishapangwa litokee na limetokea.
Sent using Jamii Forums mobile app