Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
hiatus
Hahaha hadi geological term unaitumia humu? Ni time gap hiyo.
hiatus
hiatus
Nimechimbua kidogo hata kwa binadamu linatumika pia.
Diastema(plural diastemata) is a space or gap between two teeth.
Habari ya jmos wana jamvi,
Nahitaji kisaidiwa MWANYA unaitwaje kwa kidhungu
Pia PENGO kwa kiinglish.
PENGO ni GAP.....
kuwa na GAP kwenye meno ni defect na inaitwa GAP-TOOTHED....
Asante kwa ufafanuzi,
Vip kuhusu mwanya??
Diastema ni lugha gani hio?
Whooo!
Time out,
Aiseee ndo mnanichanganya lipi ndo sahihi kutumika???
imany john
Ungetoa neno mbadala la mwanya kwa kidhungu.
Habari ya jmos wana jamvi,
Nahitaji kisaidiwa MWANYA unaitwaje kwa kidhungu
Pia PENGO kwa kiinglish.
Chance....,opportunity,