Mwanume anakupenda, halafu wewe umemuweka kwenye friend zone permanently! Why?

Na huu ndio ukweli wengi sana huolewa na wale ambao hawakuwapangilia kuwa nao tangu mwanzo
Maana akiangalia yule aliyemtaraji kamuonja alafu kasepa ngoma inakuja hapo sasa.[
Aisee miye sivumilii vitu hivi ukinipa za mbavu ujue miye simo maana mambo ya urafiki kwangu tangu mwanzo haikuwa dhamira so huyo mdogomdogo.

QUOTE=The Boss;4675664]wengi saana huwatokea
usually wanawake wengu huolewa na watu ambao
hawakuwa their first choice
wengu huolewa na 'hawa zombies'
sababu first choice nao walichapa wakasepa...

we all want what we dont have....[/QUOTE]
 
Hivi mazombie wako wa aina ngapi????.......au hujafa hujaumbika.......LOLEST

Hata wewe Hujafa Hujaumbika pi!!!! Mazombie wako wa aina nyingi, sasa ndo kila mtu ajitizame, maisha hayamngoji, ukisense uzombi kidogo JIKOMBOE, there are more women than Men yanini kuwa ZOMBIII la mtu.?????? Hutakiwi, unaonekana 2nd best SEPA!!!! BAAAAAAAAAAAAAAAAASI!
 
Wakati unampa wa pili Zombie huwa unamtaarifu???
Huwa unakataa kwa lugha gani maana na nyie hamjambo kwa lugha gongana na mkikutana na wakiume ndo loool.....

Umtaaarifu nini, wakati PICHA ANAIONA???? YEYE MWENYEWE ZOMBIII ATUMIE COMMON SENSE YA KUONA MIKA 2 HAJAPEWA KITU, WALA KUADIWA ATAPEWAGA AT ANY TIME T, ndo kwaaanza anangojea KUFIKIRIWA UPYA!!!!! Sema yoooote ila THE FACT NI KUWA ZOMBIIII ITS NEITHER RIGHT NOR HEALTHY!!!!!!!!!!
 
Hata wewe Hujafa Hujaumbika pi!!!! Mazombie wako wa aina nyingi, sasa ndo kila mtu ajitizame, maisha hayamngoji, ukisense uzombi kidogo JIKOMBOE, there are more women than Men yanini kuwa ZOMBIII la mtu.?????? Hutakiwi, unaonekana 2nd best SEPA!!!! BAAAAAAAAAAAAAAAAASI!

Umtaaarifu nini, wakati PICHA ANAIONA???? YEYE MWENYEWE ZOMBIII ATUMIE COMMON SENSE YA KUONA MIKA 2 HAJAPEWA KITU, WALA KUADIWA ATAPEWAGA AT ANY TIME T, ndo kwaaanza anangojea KUFIKIRIWA UPYA!!!!! Sema yoooote ila THE FACT NI KUWA ZOMBIIII ITS NEITHER RIGHT NOR HEALTHY!!!!!!!!!!

Kubwa la maadui lara 1 hizi post mbili zinaconclude kabisa hii mada yako!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa! Bella ni noma!!! SITA!!!! HAZINA KUBWA KABISA HIYOOO!!! Hayo mawili lionjeshe japo hata moja tu LOLEST!!!!! Si vibaya ukalihurumia zee kulko yote kati yao!!! LIMAO

huhuhu lara cwezi kumpa atabaki kuweweseka 2
 
Sijisifii but sijawahi wekwa friendship zone..

i am always in charge
nikiona hakieleweki fasta nasepa....

Umeniwahi, mi nilitaka kumwambia ni kweli hao alionao ni mazombi.....You never zombify me. Yaani kama huelewi ni kusepa ghafla, yaani nikae na mahope kibao wakati totoz zimejaa kitaa na zinagombania nafasi.

Kwa upande mwingine hapo inawezekana kuna mojawapo ya haya:-
1. Hao jamaa sio mazombi kama unavyodhani, wao wapo tu, wanasikilizia na wako tayari kwa lolote kwamba, inawezekana wakapata mzigo au wasipate, na wakati huohuo kumbuka kuwa wanaendelea kung'oa mizigo mingine kama kawa.

2. Mazombie BIG TIME.
 
Kuwa zombie ni noumer japo wanaume wengi hupitia walau mara moja hasa pale unapokua especially kama ndo mara yako ya kwanza kuanzisha relation na mtoto wa kike,ila ukikua unakuwa unajua kusoma "signs of time" kama hapaendeki unaondoka faster
BTW pia hata magirls wapo mazombie sio ma men tu,kwani hamjawahi kuona mtoto wa kike akatongozwa akazingua na jamaa akaamua kupotezea na kuanza relation na mtu mwingine, yeye akaunda urafiki na huyo men akitegemea jamaa atakumbushia kumbe alikuwa kwenye "trial and error"
 
sina mda kwanza urafiki na mwanamke kwangu ni kitu kigumu kidogo./ either uwe mpenzi wangu, dada yangu nyaani siwezi hata thubutu kukwambia nakupenda ama business relationship. hakunaga urafiki kati ya swala na simba bana. kama unampenzi wako anakwambia huyu ni rafiki tu!kuwa makini.
:amen:
 
@ lara 1 hii staili yako imewaumiza wanawake wengi sana siku idadi ya hao mazombi ikipungua ndio utaanza kuhaha.
 
Umtaaarifu nini, wakati PICHA ANAIONA???? YEYE MWENYEWE ZOMBIII ATUMIE COMMON SENSE YA KUONA MIKA 2 HAJAPEWA KITU, WALA KUADIWA ATAPEWAGA AT ANY TIME T, ndo kwaaanza anangojea KUFIKIRIWA UPYA!!!!! Sema yoooote ila THE FACT NI KUWA ZOMBIIII ITS NEITHER RIGHT NOR HEALTHY!!!!!!!!!!

lara 1, where are you? Are you being zombienized? Or are you busy with one of your zombies?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom