Mwanume anakupenda, halafu wewe umemuweka kwenye friend zone permanently! Why?

Hahahahaaaa! SHERIA ya UCHUNAJI NO:127 ya mwaka 1978 iliyofanyiwa mabadilko 2005 kifungu (A) kifungu kidogo cha 5 inamuamuru MCHUNAJI USIMUANGALIE MTU USONI NI POCHI LAKE TU!!! MWANZO MWISHO!!!! CHUNA MPAKA MIFUPA BILA HURUMA!!!! Sasa kwa mtaji huu ni NO MERCY

:fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::drama::coffee:
 
hahahaa tena umenikumbusha hapo, "mla huliwa" wakati mwenzio unamfanya zombie huku naye anakufanya zombie pia...anakuangalia tu huku anakula kwingine kiulainiiii! hahahahaa nani kanuna?

HAHAHHAAAAA! Kwani hasara iko wapi KIDUDE HAJALA!!!! Ale tu huko,KANUNA YEYE ANAENGOJA MIAKA 10000000!!!! Inauma kidude kimeliwa, wakati mwenyewe UMEINVEST MOYO hapo unangojea kusema I DO tuuu!! LOLEST! Ukistukia HOLA!!! Unamtaihiri mtu jumla jumla
 
hahahahaa hasara apo ni kuwa unadhani 'umemfunga tela' kumbe mwenzio ni 'kama fisi' teleza uone! kinaliwa tu kama kawaida kisha huyooo mdogo mdogo anasepa!
 
hahahahaa hasara apo ni kuwa unadhani 'umemfunga tela' kumbe mwenzio ni 'kama fisi' teleza uone! kinaliwa tu kama kawaida kisha huyooo mdogo mdogo anasepa!

AKILA TU! Kajikomboa kwenye UZOMBI!!! Hata ikigusa tu bila kuingia!!! LOLEST!!! Zombi ni yule anaengojea miaka 100. Ngoja kesho WENYEWE WENYE JUKWAA WAJE, utaona watakavoshupalia. NANI KANUNA??? ANAENUNA TU YEYE ZOMBIII JIWE LIMERUSHWA GIZANI LIMEMPAT!!!! LOLEST. Kesho MIZOMBI lazima inichambue kama KARANGA!!!!
 
Mimi nikipewa cha Mbavu nasepa fasta. I dont entertain friendship baada ya mtoso, mambo ya kusubiri mkono uanguke kama fisi sifanyi

Hahahaaaaa! Ndo dawa hiyo!! Ila sometimes MVUMILIVU HULA MBIVU, sasa we ukiendekeza ngoja ngoja yaumiza matumbo, utakuwa MBIVU HULI atiii!
 
Naomba hili lisinitokee, maanake haya maisha bana dah!! Na si ajabu mambo yakawa upside down, yaani kipindi ambacho unaanza kumfeel ye ndo anaanza mapozi sasa! Lol

wengi saana huwatokea
usually wanawake wengu huolewa na watu ambao
hawakuwa their first choice
wengu huolewa na 'hawa zombies'
sababu first choice nao walichapa wakasepa...

we all want what we dont have....
 
Habari Zyenuuuu!

Kama Kawa kama Dawa mimi niko Gado! Naendeleza kumtumikia Kafiri katika kutaka kutoka kimaisha!!!

Leo bana naomba niwaulize maoni yenu! Binafsi kuna wanaume wananipendaaa, they are super nice! Very Husband Material! lolest! Ila ndo nimewapiga BAN ya KUDUMU kwenye FRIENDSHIP ZONE! Dnt judge me! Atlest not yet!

Sasa nimewaza hivi inakuwaje, a Guy anakuapproach kwa swaga zote anataka MDATE na muwe na MAHUSIANO YA KIMAPENZI na anakuwa DIRECT KABISA WHAT HE IS EXPECTING! Mwanamke unalijua hili KABISA Ila kwa UMAFIA tu wa sisi wanawake wengi wetu, unaamua DELIBARATELY kuwa huyu SIMPI KITU KABISAAA! Haya umeamua humpi, fine! Muache aendelee kutafuta happiness, tunaona hapana! He is too good to let go, dawa ni moja tu, unambanish kwenye FRIENDSHIP ZONE PERMANENTLY.

Kwenye hii dunia ya URAFIKI TUU wanaume wananyanyasika sana sana sana. Yeye ndio wa kusahuri mahusiano yako, wa kuktoka nae ukigombana na BF, wa kila kitu! DAMN! Tena wengi wanatumikia kwa mda mrefu na utiifu mkubwa BUREEEEEEEEE! Alaf unakuta binti akiolewa wanakuwaga kwenye kamati ya Sendoff na Harusi kama MIZOMBI vile! Na anampongeza Bwana Harusi kwa Moyo Mkunjufu. Wengi wanakuwa na ujasiri wa kusubiria SIKU JUA LISICHOMOZE ambapo watafikiriwa upyaaa, ila REALITY ni kuwa Jua lazima lichomoze

Kuna vinganganizi wachache wanaobahatika KUBADILISHIWA VIFUNGO baada ya kutumikia FRIENDSHIP ZONE kwa muda mrefuu, na kuweza kuwazidi akili magereza wao, ila wengi huwa ni FUNGU LA KUKOSA!

Alafu these Guys wanakuwaga the VERY BEST, anaelewa unachotaka, yupo tayari kwa lolote ila ndo hivo tena HUVUTIWI NAE HATA! Sasa kinachonishinda kuelewa WHY?!!!

Mimi mwenyewe nimekuja kuandika haya hapa sababu ninayo hazina yangu ya MIZOMBI ya kutosha, japo leo nimekata shauri kuanzia kesho NIIFUNGULIE jumla jumla kwa KUMPA KILA MTU ZA USO kuwa hapa hamna kitu waendelee na michakato kwingine!

Pamoja na hayo roho inaniuma kama nini kuwa NAHANGAIKA kumtafuta THE ONE kila kona, wakati nina lundo la UNWANTED ONES alafu katika hao UNWANTED wote wanatafutwa na THE ONES wao!!! Yaani ni CHAOS THEORY!!!

INAKUWAJE UNAEMPENDA HAKUPENDI NA ANAEKUPENDA HUMPENDIIII!!!!!!

Its natural human behaviour
'we all want what we don't have'
 
hivi saa hizi ulitakiwa uwe unafanya homework yako, ila unajipitisha huku kwa mazombie halafu mnasababisha darasa la saba wanafanya hesabu za multiple choice! Kipipi we 'mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hao uliosema niwasalimie wala sitaki manake huyu lara 1 keshatufungua masikio isije kuwa umewafanya mazombie

Homework yangu ya leo ilikuwa ni kuflert na lizombie limoja na nimeshamaliza ndo nikaja huku! Btw, si unajua wanatafutwa vijana wengi wa JKT ndo maana wanapewa multiple choice.......so mi sihusiki hapo! Haya sasa rudi upeleke salamu zangu kwa amani, coz mimi sitafutagi mazombie huwa yanakuja menyewe tu!
 
Last edited by a moderator:

haaaa....ngoja nijifanye zombie siku moja....ntaomba ushauri kwa lara 1 ndo nipeleke hizo salamu! unalalaje leo kama umeona sredi ya Mtambuzi
 
Hahaahaaaaa! Kapipi baeleze hii bamutu baelewe! TOKA LINI ZOMBI AKATAFUTWA???? Ukitafutwa jua kuwa wewe ni HOT CAKE!!! NANI KANUNA???? ZOMBIIII!!!!!!
 
Thanks lara 1, umewafungua macho wengine wengi wanaowekwa permanently kwenye friends zone huku kila siku wakiongeza juhudi za kujichuna wakidhani wana chance ya kupata kidude.

Guys, ukiona mtu haeleweki unasepa fastaa!
 
Last edited by a moderator:
Homework yangu ya leo ilikuwa ni kuflert na lizombie limoja na nimeshamaliza ndo nikaja huku! Btw, si unajua wanatafutwa vijana wengi wa JKT ndo maana wanapewa multiple choice.......so mi sihusiki hapo! Haya sasa rudi upeleke salamu zangu kwa amani, coz mimi sitafutagi mazombie huwa yanakuja menyewe tu!

wengi saana huwatokea
usually wanawake wengu huolewa na watu ambao
hawakuwa their first choice
wengu huolewa na 'hawa zombies'
sababu first choice nao walichapa wakasepa...

we all want what we dont have....

The Boss MANENO KUNTU hayo uliyoyaongeaaa! SIO MWEPESI WA KUTOCHIWA ila kimenitachiii! Ukweli mtupu huo ulioongea! Umenipa wazo nianze KUSHOP WITHIN MY ZOMBIZI!!!! Huenda THE ONE yumo humo ila sijkagua poa??? ILA THE BOSS as much as i want to deny u this CREDIT ngoja niseme tu ukweli YOU ARE REALY THE GOLDEN MEMBER WA JF!!!!!! Ungekuwa Bongo ningekupooza koo na APPLE MALTIZER BARIDIII (i guess u dont drink) kwa maneno KUNTU uliyoyasema hapo juu!! LOLEST!!! NANI KANUNA? (Hamchelewi kununia sifa ya the boss)
 
The fact! Ila sasa na wakijikuta wameolewa na their first choices......inakuwa ni by chances tu au?
 
Thanks lara 1, umewafungua macho wengine wengi wanaowekwa permanently kwenye friends zone huku kila siku wakiongeza juhudi za kujichuna wakidhani wana chance ya kupata kidude.

Guys, ukiona mtu haeleweki unasepa fastaa!

Umeonaaaa eeeh!!! Hii niliyofanya ni kazi chafu ila ilibidi mtu aifanye, WATANUNA HAO WAKIISOMA HII THREAD, na kuniponda sana mwanzo mwisho, ila wakitoka hapa watajielewa, watajiokoa na UZOMBI! Kesho mtafutano kila mtu alie kwenye Waiting List ataomba COMFIRMATION KAMA KIDUDE KINATOKA AU HAKITOKI!!! LOLEST!!!! SAY NO TO UZOMBIII!!!!
 
The Boss MANENO KUNTU hayo uliyoyaongeaaa! SIO MWEPESI WA KUTOCHIWA ila kimenitachiii! Ukweli mtupu huo ulioongea! Umenipa wazo nianze KUSHOP WITHIN MY ZOMBIZI!!!! Huenda THE ONE yumo humo ila sijkagua poa??? ILA THE BOSS as much as i want to deny u this CREDIT ngoja niseme tu ukweli YOU ARE REALY THE GOLDEN MEMBER WA JF!!!!!! Ungekuwa Bongo ningekupooza koo na APPLE MALTIZER BARIDIII (i guess u dont drink) kwa maneno KUNTU uliyoyasema hapo juu!! LOLEST!!! NANI KANUNA? (Hamchelewi kununia sifa ya the boss)

Kisa cha kutaka kumgonganisha na Max ni nini? inahuu? LOL Nimenuna. na sasa subiri The Boss akwambie ako Bongo!
 
Last edited by a moderator:
Umeonaaaa eeeh!!! Hii niliyofanya ni kazi chafu ila ilibidi mtu aifanye, WATANUNA HAO WAKIISOMA HII THREAD, na kuniponda sana mwanzo mwisho, ila wakitoka hapa watajielewa, watajiokoa na UZOMBI! Kesho mtafutano kila mtu alie kwenye Waiting List ataomba COMFIRMATION KAMA KIDUDE KINATOKA AU HAKITOKI!!! LOLEST!!!! SAY NO TO UZOMBIII!!!!

Maneno KUNTU haya!
 
Thanks lara 1, umewafungua macho wengine wengi wanaowekwa permanently kwenye friends zone huku kila siku wakiongeza juhudi za kujichuna wakidhani wana chance ya kupata kidude.

Guys, ukiona mtu haeleweki unasepa fastaa!
Mwanaukweli, ushauri wako murua sana. Jinsia yako tafadhali, kama hutojali. asante
 
Last edited by a moderator:
haaaa....ngoja nijifanye zombie siku moja....ntaomba ushauri kwa lara 1 ndo nipeleke hizo salamu! unalalaje leo kama umeona sredi ya Mtambuzi

Ili tu uflert? Hahah .......wewe ushakuwa zombie kwa AshaDii basi inatosha, usitake kuwa zombie originale pande zingine! Btw, kuhusu kulala ngoja nikaisome hiyo thread then nije kukujibu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom