CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Hii ni kauli aliyoitoa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tanga akiwapa ajira mbadala wahitimu wa vyuo vikuu. Swali: Yeye anafikiria kufuga kwa vile sasa hana kazi? Au ni mkuki kwa nguruwe!
Mbona anafuga tangia zamaniHii ni kauli aliyoitoa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tanga akiwapa ajira mbadala wahitimu wa vyuo vikuu. Swali: Yeye anafikiria kufuga kwa vile sasa hana kazi? Au ni mkuki kwa nguruwe!