mwanmke aliejifungua kwa opration akibeba mimba baada ya miezi kumi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwanmke aliejifungua kwa opration akibeba mimba baada ya miezi kumi!

Discussion in 'JF Doctor' started by yahoo, Jan 30, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  mwnamke aliyejifungua kwa operation *akipata mimba ndani ya mwaka,hususani miezi kumi inamadhara gani?
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Hakuna madhara,labda pia inategemea mtu na mtu,nilibeba mimba miezi kumi na 1 baada ya operation.Nilijifungua salaama kabisa.
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  asante dada manaake nikiisi wifi yako,anamimba huaga napata presha.vipi kwamara ya2 ulijifungua kwa opration pia?*
   
Loading...