Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 455
- 1,069
Habari zenu?
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu ,mimi ni mtumiaji mzuri wa smartphone na kwa kujichunguza mwenyewe nimehitimisha kua mwanga wa smartphone unaathiri sana upatikanaji wa usingizi wangu.
Nikiwa sina smartphone nakua nalala on time na nikiingia kitandani haichukui mda nishapata usingizi.hata mchana nikitaka kulala nalala bila kuutafuta usingizi.
nikiwa na smartphone mda mwingi hua naitumia,kuna mabadiliko nayaona tofauti na nikiwa sina.
Kwa usiku

- hua nachelewa kulala sababu ya kuperuzi peruzi na hata nikiamua kulala hua nachelewa kupata usingiz,yaani naweka chini simu mida mibovu +nachelewa kupata usingizi.
- mchana pia nikiwa na smartphone hua silali hata nikijilazimisha tofauti na nikiwa sina smartphone,usingizi wa mchana unakua adimu hata nikiutafuta.