Mwanga ni nuru? Je Giza ni nini? Vyanzo vyake je?

Inategemea unazungumzia giza na mwanga kwa perception ipi au unatokea wapi
 
giza ni asili ya namna ulimwengu ulivyokuwa kabla ya kufanyiwa marekebisho ( either by God or human being).
Giza ni kiashiria cha kukosekana kwa nishati ya mwanga, giza haliwezi likapimwa katika quantity measurements,
Dark is nothing from nothing, and it's a concetration of air molecules with no energy abundance in their neutral status.
 
Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
.
Mwanga ni wa asili bali giza sii la asili.
Ni kama vile kusema hapakuwa na uongo kabla ya kweli, hakuna batili kabla ya haki,
Kweli ikipotoshwa ndio huitwa uongo.
Hivyo basi nuru iliyoondoshwa ndio huitwa kiza.
 
Mwanga haujatokea kwenye Giza. Mwanga haujazaliwa na Giza. Chanzo cha Mwanga ni jua na mwezi na nyota, sio Giza. Na hiyo ndio maana ya "let there be light"
Kwa mtazamo wa akili za kibinadamu tu, kila kitu hapa kitagonga mwamba! Ni nani aliyekuwepo hapo kabla anayeweza kuthibitisha chazo cha hivi vyote?
 
giza ni asili ya namna ulimwengu ulivyokuwa kabla ya kufanyiwa marekebisho ( either by God or human being).
Giza ni kiashiria cha kukosekana kwa nishati ya mwanga, giza haliwezi likapimwa katika quantity measurements,
Dark is nothing from nothing, and it's a concetration of air molecules with no energy abundance in their neutral status.
Vitu kama hivi ukileta sayansi na mawazo ya kufikirika fikirika mbeleni utakwama ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom